Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
03 - شوال - 1442 هـ
15 - 05 - 2021 مـ
6:40 مساءً
(بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى)

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://albushra-islamia.org/showthread.php?t=42463
____________


جاءت ذروةُ فساد اليهود الصّهاينة في أرض المسجد الأقصى ..
Imefika Kilele Ya Ufisadi Wa Mayahudi Mazayuni Kwenye Ardhi Ya Msikiti Wa Al'Aqswa


Salam Allah Aleiykum Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Wa Naim Ridhwanahu, Na idi Mubarak Ju Yenu Na Ju Ya Waislamu Wote ..
سلامُ الله عليكم ورحمةُ الله وبركاته ونعيمُ رضوانه، وعيدٌ مبارك عليكم وجميعِ المسلمين ..

Na Kuhusu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani basi idi kwake sio ya furaha, Basi moyo wangu una maumivu kulingana na matokeo yanao fanyika ya uhalifu mbaya ju ya raia wa falastina, Lakini Allah Ana Huruma ju yao kuliko mja wake na twangojea Rehema Yake ili afanye haraka kutawala na ukombozi baini kwa uwezo wake na nguvu zake na matokeo ya haraka kutoka kwa Mola Mlezi wa Ulimwngu, Basi hakuna kwenye mkono mbinu assaa huwenda ghera wivu za watu ju ya msikiti wa alaqsaa na waislamu katika falastina iwe sababu kuhuisha nyoyo zao na kufanya safu yao moja, Na shida iko kwa viongozi wa waislamu warabu na ma ajami haswa wale wanao mamuzi ambao wanaweza kushawishi katika warabu na ma ajami, Na tutangojea yale atakao kuyafanya Allah hakika Al'Imam Al'Mahdi anagoja ama ukombozi ama jabo kutoka kwa Allah moja kwa moja kwa "kun fayakun" Kua na inakua (manguruwe) Na alani amtakae laana kuu! ispokua kusubutu kuingia katika utakatifu wa Mwenyzimungu ili apambanuwe Allah alie khabithi na alie mzuri katika waislamu baina yao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao (52) Na walio amini watasema: Hivyo hawa ndio wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa wao wa pamoja nanyi? Vitendo vyao vitapotea bure, na wataamkia kuwa wenye kukhasirika (53) Enyi mlio amini! Atakaye iacha miongoni mwenu Dini yake, basi Mwenyezi Mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mkunjufu na Mwenye kujua(54)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].
{فَتَرَى الَّذِينَ فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ يُسَارِعُونَ فِيهِمْ يَقُولُونَ نَخْشَىٰ أَن تُصِيبَنَا دَائِرَةٌ ۚ فَعَسَى اللَّهُ أَن يَأْتِيَ بِالْفَتْحِ أَوْ أَمْرٍ مِّنْ عِندِهِ فَيُصْبِحُوا عَلَىٰ مَا أَسَرُّوا فِي أَنفُسِهِمْ نَادِمِينَ ‎﴿٥٢﴾‏ وَيَقُولُ الَّذِينَ آمَنُوا أَهَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمُوا بِاللَّهِ جَهْدَ أَيْمَانِهِمْ ۙ إِنَّهُمْ لَمَعَكُمْ ۚ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فَأَصْبَحُوا خَاسِرِينَ ‎﴿٥٣﴾‏ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ۚ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ‎﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [المائدة].

Na imekurubia matokeo makuu yanao fwatana, Na mujuwe hasira za Allah ni kubwa, Na enyi wapendwa wangu kwa Allah katika kila hali kuna makala, Basi hi Bayana mpya ukumbusho wa mwisho kwa waislamu kuhusu yanao tokea katika falastina na msikiti wa alaqsa kutokana na uwaduwi wa kizayuni kutoka masiku za mwisho wa ramadhani, Kwakua wao wamingia katika kilele cha ufisadi wao ambao ni mkubwa kabisa, Basi vile watakavo bomoa wanavo weza hakika imekuja nusra ya Allah, Na hakika atalipiza kisasi kwa Nafsi Yake Allah na kwa nyumba yake (Na kwa mikono yenu) Na kwa waja wake wanao jilazimu nafsi zao upande wa alaqsa na wanao nyanyaswa katika ulimwengu na wote walio dhulumiwa ulimwenguni, Basi musihuzunike kwa yale Atakao kuyafanya Allah kwa wenye kiburi, Fawallahi hakika mimi niko katika kustajabu ju ya ma ansari wangu; Vipi muna tama kuwaongoza wenye kiburi pindi wanapo ona njia ya haki hawaichukuwi ni njia watakavo kujua kwa ilimu ya yakini kua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad!?

Na enye wapendwa wangu kwa Allah, Ispokua Anamongoa Allah kumfwata mlinganizi wa njia yake ni wale wakati wakijua kwa yakini kua mimi ni Khalia wa Allah ju yao zina nyenyekea shingo zao kwa Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad kutii Amri Ya Allah, Na hakumtumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad ili awaongoze mashetani katika watu na ma jini na katika kila jinsia. Bali chini ya hapo katika waja wake, Ama ma aduwi zake katika walio chukia Neema ya Radhi ya Nafsi Yake Ta3ala basi vipi atawaongoza Allah na imekuja upambanuzi wa Bayana ya haki katika waki ya uhakika na nyinyi sasa muko katika kuingia kutimiza waadi wa Allah kutawalisha katika ulimwengu ili kuwatishia kumtii Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad?! Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Na kama ingeli kuwako Qur'ani ndiyo inayo endeshewa milima, na kupasuliwa ardhi, na kusemeshewa wafu, (basi ingeli kuwa Qur'ani hii). Bali mambo yote ni ya Mwenyezi Mungu. Je, hawajajua walio amini kwamba lau kuwa Mwenyezi Mungu ange penda bila ya shaka angeli waongoa watu wote? Wala walio kufuru hawaachi kusibiwa na balaa kwa waliyo yatenda, au ikawateremkia karibu na nyumbani kwao, mpaka ifike ahadi ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu havunji miadi yake(31)} Sadaqa Allah Al3adhim [Arraad].
{وَلَوْ أَنَّ قُرْآنًا سُيِّرَتْ بِهِ الْجِبَالُ أَوْ قُطِّعَتْ بِهِ الْأَرْضُ أَوْ كُلِّمَ بِهِ الْمَوْتَىٰ ۗ بَل لِّلَّهِ الْأَمْرُ جَمِيعًا ۗ أَفَلَمْ يَيْأَسِ الَّذِينَ آمَنُوا أَن لَّوْ يَشَاءُ اللَّهُ لَهَدَى النَّاسَ جَمِيعًا ۗ وَلَا يَزَالُ الَّذِينَ كَفَرُوا تُصِيبُهُم بِمَا صَنَعُوا قَارِعَةٌ أَوْ تَحُلُّ قَرِيبًا مِّن دَارِهِمْ حَتَّىٰ يَأْتِيَ وَعْدُ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ لَا يُخْلِفُ الْمِيعَادَ ‎﴿٣١﴾}صدق الله العظيم [الرعد].

Na wapendwa wangu kwa Allah ma ansari wanadhani Amri ya Allah haiji ispokua Siku ya ramadhani ya kimwezi! Lakini wageni wahishimiwa wa Ibrahim walimjia Mtume wa Allah ibrahim wakati wa mchana akawakaribisha kuwaweka sehemu ya wageni, Akaenda kwa familia yake ili awapikie wageni wake chakula cha mchana, Akashughulika kwa kuchinja ndama akamchoma yeye na mkewake mpaka wakaja kwa wageni wao na nyama ya kuchoma, Na huwenda kutaka wapendwa wangu ma ansar kusema: "Na tunachunguza nini na hayo?" Kisha Anarudisha jibu ju yao Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Na Nassma: Lau ingekua tokeo la adhabu haiji ispokua kwenye funga ya siku ya mwezi peke kwahivo angeka na wao ili ahakikishe kua wao wamefunga ama hawakufunga mpaka ajuwe, Aidha awandalie nyama fitari baada ya magharibi , Ama awandalie chakula cha mchana, Lakini mimi naikuta katika ilio wazi maana yake Al'Quran kua amewandalia chakula cha mchana wakati wa adhuhuri, Kwakua yeye hana shaka kwamba wageni wake wamefunga, Na lau ingekua yeye ameka na wao kidogo katika wakati wangempa bishara ya mtoto mjuzi, Na angejua kwamba wao ni Malaika wa Arahman mwili hawali chakula; Kwahivo hangechinja kwakua yeye amechinja kuwakirimu wageni wake watu wasiojulikana, Na wasiojulikana yani: Wageni; Hawajuwi kutoka mwanzo na wala hakuwauliza ni kutoka mji gani wao, Bali moja kwa moja amianda chakula chao, Na wakazungumza na nyeye baada ya bishara na akajadiliana na wao kuhusu kaumu wa Lut, Na wakamhakikishia kwamba imekuja Amri ya Allah na kua itawapata adhabu haizuiliki, Na wakamwambia yeye: "Weka nyama katika chombo (Chakula yenu Tayari) Na uwende wewe na mkewako sehemu Alipo Kuamirsha Allah", Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Na tukamwokoa yeye na Luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili ya walimwengu wote(71)} [Alanbia].
{وَنَجَّيْنَاهُ وَلُوطًا إِلَى الْأَرْضِ الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا لِلْعَالَمِينَ ‎﴿٧١﴾} [الأنبياء]،
Kisha wakatoka kwa Mtume wa Allah Ibrahim - Ju yake na familia yake Sala na Salam - Kwa migu yao watembea, Mpaka wakafika katika kijiji cha Nabi wa Allah Lut mchana wanatembea kwa migu yao, Na walikua wameva mavazi mazuri katika mavazi mazuri kabisa wanao va watu wao, Na wakawasili kijijini baada ya alasiri wanakusudia nyumba ya Nabi wa Allah Lut - Ju yake Sala na Salam - Basi wakawaona walipo fika, Akaona uzuri wao Nabi wa Allah Lut akasema hi leo ni siku ngumu, Kwakua wamekuja kwake wakati wa mwangaza wakaona uzuri wao yeye na wengine, Akasema Allah Ta:ala:
{ Na wajumbe wetu walipo kuja kwa Lut' aliwahuzunukia na akawaonea dhiki. Akasema: Hii leo ni siku ngumu(77)} [Hud].
{وَلَمَّا جَاءَتْ رُسُلُنَا لُوطًا سِيءَ بِهِمْ وَضَاقَ بِهِمْ ذَرْعًا وَقَالَ هَٰذَا يَوْمٌ عَصِيبٌ ‎﴿٧٧﴾} [هود]

Wala sio kwa kuchukia wageni waliofika, Lakini yeye yuwajua ile fahisha wanao yafanya watu wake hajatangulia kabla yao yoyote katika ulimwengu, Kwajili ya hivo aliwahuzunukia akawaonea dhiki, Eee hakika wale wageni wa Ibrahim wahishimiwa hivo hivo wao ndio wageni wa Lut ju yake Sala na salam, Akawakaribisha na yeye hawajuwi akawaweka kwa sehemu ya wageni, Akaenda kwa mkewake na waschana wake ili andae chakila cha wageni wake, Lakini chakula chausiku, Kwakua wamefika kwake wakati wa ishi (Alasri) Akataka kuwandalia chakula cha usiku, Mara kaumu yake wamekuja mbio mbio upande wa nyumba yake ili wawachukuwe wageni wake, Na alikua hajuwi kua wao ni Malaika wajumbe wa Mola Mlezi wa ulimwengu, Ili atoke yeye na familia yake katikati wa usiku "Wala hatutaki tuwarefushie kwenu na watafiti, Wala hatutaki tuwabainishie zaidi enyi wapendwa wangu ma ansar.

Na kinacho nitishia kwa ma ansari kwakua wengi wao kila mara wanajifitini nafsi zao na wanawafitini watu wao na marafiki zao wale ambao wako karibu kuwasadiki na kuwafwata! Na ile wanao sikitisha nafsi zao na wanafitinisha watu wao na marafiki wao ni kua wao wanasema kutokana na nafsi zao kuhadidisha miaadi ya adhabu bila ilimu kutoka kwa Allah huku wamekhalifu amri ya Allah kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{ Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli (25) Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].
{وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ‎﴿٢٥﴾‏ قُلْ إِنَّمَا الْعِلْمُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ ‎﴿٢٦﴾‏} صدق الله العظيم [الملك].

Ne enyi ma3ashata ya ma ansari kiasi gani nimewanasihi kila mara kwamba musijifitini nafsi zenu na watu wenu na kwamba musikhalifu amri ya Allah kuhadid miadi ya adhabu, Kwakua Allah ana hikma inao fikisha basi yeye Anajua zaidi kwa waja wake, Kwakua wao wana haraka kwa mabaya kabla mazuri, Na hata kama muko karibu kuwakinaisha na mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola wao Mlezi kisha mukahadidisha miadi ya adhabu wange chelewesha kufwata wale ambao hawatafakari mpaka zipate kutumaini nyoyo zao wakati inapo anguka adhabu ju ya vichwa vao, Na Akasema Allah Ta3ala:
{Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli (48) Sema: Sijimilikii nafsi yangu shari wala kheri ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Kila umma una muda wao walio wekewa. Ukifika muda wao hawakawii hata saa moja wala hawatangulii (49) Sema: Mwaonaje ikikufikieni hiyo adhabu yake usiku au mchana, sehemu gani ya adhabu wanaihimiza wakosefu (50) Tena je! Ikisha tokea mtaiamini? Je! Ndio sasa tena? Na nyinyi mlikuwa mkiihimiza (51) Kisha walio dhulumu wataambiwa: Onjeni adhabu ya kudumu. Kwani mtalipwa isipo kuwa yale mliyo kuwa mkiyachuma (52) Na wanakuuliza: Je! Ni kweli hayo? Sema: Ehe! Naapa kwa Mola wangu Mlezi! Hakika hayo ni kweli, na wala nyinyi hamshindi (53)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].

{وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ ‎﴿٤٨﴾‏ قُل لَّا أَمْلِكُ لِنَفْسِي ضَرًّا وَلَا نَفْعًا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ لِكُلِّ أُمَّةٍ أَجَلٌ ۚ إِذَا جَاءَ أَجَلُهُمْ فَلَا يَسْتَأْخِرُونَ سَاعَةً ۖ وَلَا يَسْتَقْدِمُونَ ‎﴿٤٩﴾‏ قُلْ أَرَأَيْتُمْ إِنْ أَتَاكُمْ عَذَابُهُ بَيَاتًا أَوْ نَهَارًا مَّاذَا يَسْتَعْجِلُ مِنْهُ الْمُجْرِمُونَ ‎﴿٥٠﴾‏ أَثُمَّ إِذَا مَا وَقَعَ آمَنتُم بِهِ ۚ آلْآنَ وَقَدْ كُنتُم بِهِ تَسْتَعْجِلُونَ ‎﴿٥١﴾‏ ثُمَّ قِيلَ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذُوقُوا عَذَابَ الْخُلْدِ هَلْ تُجْزَوْنَ إِلَّا بِمَا كُنتُمْ تَكْسِبُونَ ‎﴿٥٢﴾‏ وَيَسْتَنبِئُونَكَ أَحَقٌّ هُوَ ۖ قُلْ إِي وَرَبِّي إِنَّهُ لَحَقٌّ ۖ وَمَا أَنتُم بِمُعْجِزِينَ ‎﴿٥٣﴾‏}صدق الله العظيم [يونس].

Na enyi wapendwa wangu kwa Allah, Hakika Allah Anaridhika kwa waja wake kushukuru wala Haridhiki kwao kukufuru, Na Ataifanya nini Allah kwa kuadhibu waja wake? Na Akasema Allah Ta3ala:
{ Mwenyezi Mungu hakuadhibuni mkimshukuru na mkamuamini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kupokea shukrani na ndiye Mwenye kujua(147)} [Anissaa].
{مَّا يَفْعَلُ اللَّهُ بِعَذَابِكُمْ إِن شَكَرْتُمْ وَآمَنتُمْ ۚ وَكَانَ اللَّهُ شَاكِرًا عَلِيمًا ‎﴿١٤٧﴾‏} [النساء]Kwakua hayo yanamhuzunisha baada watakapo kujuta kwa yale walio poteza upande wa Mola wao Mlezi, Bali Anafurahi Allah kwa kuongoka kwao na hivo ndio inao pokea Nafsi ya Allah (Uchamungu wao), Basi Anafurahika kwa kuongoka kwao zaidi kuliko furaha yenu kuongoa baadhi yenu kwa baadhi, Ispokua wenye kiburi wanao chukia kuridhika kwa Mola Mlezi wa ulimwengu, Basi mujuwe hakuna tama kuongoka kwao, Bali ulimwengu mzima sa hi wako ukingoni mwa vita va Allah kwa sababu ya mvutano ya kukurubia sayari ya adhabu (Saqar) Kwa ardhi, Basi ikafika sasa katika ukingo wa falaki yake kurefuka kwake ju nyuma ya jua ndio izunguke nyuma yake ndio iteremke katika mbingu ya ardhi yenu upande wa kusini mwa jua na kusini mwa ardhi ya binadamu, Na baina yake na baina ya jua hivi sasa mivutano na milipuko, ndio itasababisha kuzidisha vita va Allah va hali ya hewa kwa mifuriko ya maji yanao miminika, Na kasfen kutoka mbinguni inaanguka kwa yale hawakua wakidhania, Na vita va vimbunga va baharini na unyongovu wa kianga yenye kimbunga cha upepo unechanganyika baridi na joto angani na barani na baharini, Na kimbunga kina moto ndani yake yenye nguvu kuweza kubomoa ili kuchoma mabustani misitu ya starehe ju ya vichwa vao, Na vita va umeme na Matetemeko ya ardhi na volkano Na dhoruba za Migogoro ya baharini na barani ya kududumiza na aina tafauti ya adhabu kutokana na vita va mvutano, Na hakika atazidisha Allah kiwango cha vita vake angani na baharini na barani, Na kuongeza nyongeza mpya kutokana na kizazi cha umbu wa damu.

Na namtaradhilia Allah kwamba asiangamize kwa adhabu yake ispokua ma aduwi wake wale ambae lau watajua ukweli kutoka kwa Mola wao Mlezi basi wao kwa haki ni wenye kuchukia, Na awaongoze Allah chini ya hao, Na naskitika kua mimi niko katika umma nawo ni zaidi wenye kumkanusha Mungu baina ya ma umma wote ispokua alio rehemewa na Mola wangu Mlezi, Kwakua wanawasadiki wasio amini Mungu kwa kauli yao: "Majanga ya asili inatokea kila baada muda; Inajulikana", Mpaka pindi Akizidisha Allah ju yao kwa adhabu ya mvutano kwa sababu ya kukurubia sayari ya adhabu wakasema: " Ndio hi majanga sio ya asili hatujazowea kuja kufwatana hivi, Lakini hi ni kwasababu Ongezeko la joto duniani katika anga ya ju kwasababu Uchovu wa viwanda vyetu zilikua ni sababu ya majanga katika ardhi na angani", Na eeee maajabu! Basi kwa nini Allah akiangamiza nayo ma umma wa mwanzo? Sio ile wanao ita majanga ya asili? Na je ameangamiza Allah kaumu Nuh kwa mifuriko ya kuzama maji inao miminika, Na je hio ilikua ni kwa sababu uchovu ya viwanda viyao imefanya kasoro katika anga pamoja ya kua ni tofani kuu katika historia ya dunia kwenye ardhi imezamisha majabali yote katika ardhi?! Basi hivo hivo tofani ya adhabu ya chini kwa amri ya Allah, Na maskitiko wamewasadiki waislamu ispokua walio rehemewa na Mola wangu Mlezi, Na katika mtazamo wangu ma kafiri wa Quresh wao imani yao zaidi kwa Allah kuliko waislamu wa leo lau sio kua wao washirikina kwa Allah miungu pamoja na Allah, Aksema Allah Ta3ala:
{Sema: Ni ya nani ardhi na viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua (84) Watasema: Ni vya Mwenyezi Mungu! Sema: Basi, je, hamkumbuki (85) Sema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu (86) Watasema: Ni vya Mwenyezi Mungu. Sema: Basi je, hamwogopi (87) Sema: Ni nani mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu, naye ndiye anaye linda, wala hakilindwi asicho taka, kama mnajua (88) Watasema: (Ufalme huo) ni wa Mwenyezi Mungu. Sema: Basi vipi mwasema mumerogwa (89)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminin].

{قُل لِّمَنِ الْأَرْضُ وَمَن فِيهَا إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ ‎﴿٨٤﴾‏ سَيَقُولُونَ لِلَّهِ ۚ قُلْ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ‎﴿٨٥﴾‏ قُلْ مَن رَّبُّ السَّمَاوَاتِ السَّبْعِ وَرَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ ‎﴿٨٦﴾‏ سَيَقُولُونَ لِلَّهِ ۚ قُلْ أَفَلَا تَتَّقُونَ ‎﴿٨٧﴾‏ قُلْ مَن بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَهُوَ يُجِيرُ وَلَا يُجَارُ عَلَيْهِ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ ‎﴿٨٨﴾‏ سَيَقُولُونَ لِلَّهِ ۚ قُلْ فَأَنَّىٰ تُسْحَرُونَ ‎﴿٨٩﴾‏} صدق الله العظيم [المؤمنون]،
Na akusudia Allah katika kauli yake kwa Nabi wake:
{Sema: Basi vipi mwasema mumerogwa}
{قُلْ فَأَنَّىٰ تُسْحَرُونَ}؛
Yani Vipi mutasema mimi ni mchawi na ilhali nawalingania kumwabudu Allah pekeyake hana mshirika nae, Na nyinyi kwake munamtambua kua Yeye ni Allah Mola Mlezi wa Ufalme Mumbaji wa kila kitu Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi Anae Endesha ufalme wake Subhanahu; Kwahivo makafiri katika zama za Mtume imani yao ni kubwa kuliko imani ya waislamu wa leo ispokua alio rehemewa na Mola wangu Mlezi, Na nakusudia wale ambao wameamini urongo wa hadithi za ungezeko la joto duniani kwa sababu Uchovu wa viwanda va binadamu kua zimesababisha mifuriko ya maji yanao miminika badali kuteremka kwa kadara kama munavo ahidiwa, Na eee Subhana Allah! Na je muna amini pindi mukismamisha gurudumu la uchumi wenu mutapunguza maji yanao miminika kisha iteremke mvua kwa kadara ina kiwango? Na je wasio amini Mungu wao ndio wanao endesha mvua wenye mtazamo wa Ongezeko la joto duniani?! Akasema Allah Ta3ala:
{Mwenyezi Mungu ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi, na akateremsha maji kutoka mbinguni. Na kwa hayo akatoa matunda kuwa ni riziki yenu. Na akafanya yakutumikieni majahazi yanayo pita baharini kwa amri yake, na akaifanya mito ikutumikieni (32) Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana kwa manufaa yenu (33)} Sadaqa Allah Al3adhim ]Ibrahim].{اللَّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَأَنزَلَ مِنَ السَّمَاءِ مَاءً فَأَخْرَجَ بِهِ مِنَ الثَّمَرَاتِ رِزْقًا لَّكُمْ ۖ وَسَخَّرَ لَكُمُ الْفُلْكَ لِتَجْرِيَ فِي الْبَحْرِ بِأَمْرِهِ ۖ وَسَخَّرَ لَكُمُ الْأَنْهَارَ ‎﴿٣٢﴾‏ وَسَخَّرَ لَكُمُ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ دَائِبَيْنِ ۖ وَسَخَّرَ لَكُمُ اللَّيْلَ وَالنَّهَارَ ‎﴿٣٣﴾}
‏ [إبراهيم].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{ Na ukiwauliza; Nani aliye umba mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake? Bila ya shaka, watasema: Mwenyezi Mungu. Wapi basi wanako geuzwa (61) Mwenyezi Mungu humkunjulia, na humdhikishia, riziki amtakaye katika waja wake. Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu (62) Na ukiwauliza: Ni nani anaye teremsha maji kutoka mbinguni, na akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake? Bila ya shaka watasema: Ni Mwenyezi Mungu. Sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Bali wengi katika wao hawafahamu (63)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].
{وَلَئِن سَأَلْتَهُم مَّنْ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ لَيَقُولُنَّ اللَّهُ ۖ فَأَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ ‎﴿٦١﴾‏

اللَّهُ يَبْسُطُ الرِّزْقَ لِمَن يَشَاءُ مِنْ عِبَادِهِ وَيَقْدِرُ لَهُ ۚ إِنَّ اللَّهَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ‎﴿٦٢﴾‏
وَلَئِن سَأَلْتَهُم مَّن نَّزَّلَ مِنَ السَّمَاءِ مَاءً فَأَحْيَا بِهِ الْأَرْضَ مِن بَعْدِ مَوْتِهَا لَيَقُولُنَّ اللَّهُ ۚ قُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ ۚ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ ‎﴿٦٣﴾}صدق الله العظيم [العنكبوت]..

Eee Warabi, Hakika ya atakae kuamini hadithi za ongezeko la joto duniani hawati akili.

Na huwenda wengi katika waislamu kutaka kusema: "Una nini ewe Nasser Muhammad wazungumza na sisi kama kwamba sisi hatuamini Mola Mlezi wa ulimwengu?" Kisha arudishs jibu kwenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Aseme: Hu ni ukweli wenu ikiwa muta amini mtazamo wa Ongezeko la joto duniani; Kwakua mimi nawaonya na walimwengu kutoka miyaka kumi nasita kutokana na mvutano wa adhabu sayari ya adhabu ambao inakurubia kwa ardhi yenu na kila mwaka karibu zaidi, Hio kwenu sayari ya saqar, Kwakua nayo inakuja kwa binadamu mifuriko ya maji ya kumiminika hamujawahi kuona kama hio katika maisha yenu katika sehemu tafauti duniani, Na Atatuma Allah Mvua bila mawingu! Kimbunga cha barafu hamjawahi kuona kama hio kutoka mwanzo; Inasukumwa na upepo mkali unatembea mbio sana, Na Ataangusha Allah ju ya ulimwengu na ju ya kisiwa cha warabu kimbunga cha jabali ya barafu (Incha zake za uwa), Basi hayo ndio alio watahadharisha makafiri nayo Muhammad Mtume wa Allah - Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam - Akasema Allah Ta3ala:
{Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso (92)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].
{أَوْ تُسْقِطَ السَّمَاءَ كَمَا زَعَمْتَ عَلَيْنَا كِسَفًا أَوْ تَأْتِيَ بِاللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ قَبِيلًا ‎﴿٩٢﴾} [الإسراء].

Na hivo hivo mawe ya moto kutokana na sayari ya saqara, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Na walipo sema: Ee Mwenyezi Mungu! Ikiwa haya ni kweli itokayo kwako basi tunyeshee mawe kutoka mbinguni, au tuletee adhabu yoyote iliyo chungu (32) Na Mwenyezi Mungu hakuwa wa kuwaadhibu nawe umo pamoja nao, wala Mwenyezi Mungu si wa kuwaadhibu na hali ya kuwa wanaomba msamaha (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].
{وَإِذْ قَالُوا اللَّهُمَّ إِن كَانَ هَٰذَا هُوَ الْحَقَّ مِنْ عِندِكَ فَأَمْطِرْ عَلَيْنَا حِجَارَةً مِّنَ السَّمَاءِ أَوِ ائْتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ‎﴿٣٢﴾‏ وَمَا كَانَ اللَّهُ لِيُعَذِّبَهُمْ وَأَنتَ فِيهِمْ ۚ وَمَا كَانَ اللَّهُ مُعَذِّبَهُمْ وَهُمْ يَسْتَغْفِرُونَ ‎﴿٣٣﴾} صدق الله العظيم
[الأنفال]..

Na hivo hivo Moshi baini na nini kitakacho kukujulisha na moshi ulio wazi?!

Na kwa vile wenye kiburi katika bani sahyuni upande wa msikiti wa alaqsa imefika kilele ya miadi ya ufisadi wao mkubwa, Na najua ile watakavo fanya ili ampambanuwe Allah baina ya alio khabithi na alio mzuri katika waislamu, Kisha Alipize Allah kwajili ya Nyumba yake ilio tukuka msikiti wa alaqsa na kwa wanyonge katika falastina wale ambao wanawatazama viongozi wa warabu na wa waislamu vipi wanavo wafanya mazayuni wanabomoa kwa ndege nyumba zao ju ya vichwa vao! Na nakuta kwenye Al'Quran ispokua hio harakati ya kuingia msikiti wa alaqsa ili kufukuza wanao swali na wanao fanya itikafu katika kumi la mwisho la ramadhani sio ila ili wawakasirishe raiya wa falastina ili wapigane nao, Na wanataka kubomoa kwa ma ndege majengo yao kubomoa na ku'uwa raia wa falastina na kufukuza wengine na kubomoa msikiti wa alaqsa na kuifanya falastina yote ni ya kiyahudi, Kisha ambao inao fwata ikiwa wataweza kutimiza itimu ramani ya maluni tramp - Amkate Allah mngongo wake na ampunguzie umri wake - Na ukweli tumewanasihi wakristo ma nasara kua wawe na hadhari na wakristo mazayuni ma aduwi wa waislamu na ma nasara na ma aduwi wa ma yahudi ambao wenye amani katika wale ambao wanataka kua na amani kutokana na shari ya watu wao na shari la mujahidina waislamu wakukomboa falastina, Basi wakiwajieni enyi ma3ashara ya waislamu basi wakubalini na wala musiwaguse kwa ubaya, Basi wao hakika hawana ndoto ya taifa la ki yahudi kuu na wanataka kupata salama kutokana na shari la kaumu yao na kupata amani kutokana na shari la waislamu na waishi kwa amani, Hawo hakufanya kwenu ju yao njia; Hawo ndio Allah Alisema ju yao katika ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim kwenye kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao (90) Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi (91)} Sadaqa Allah Al3adhim [Anissaa].
{إِلَّا الَّذِينَ يَصِلُونَ إِلَىٰ قَوْمٍ بَيْنَكُمْ وَبَيْنَهُم مِّيثَاقٌ أَوْ جَاءُوكُمْ حَصِرَتْ صُدُورُهُمْ أَن يُقَاتِلُوكُمْ أَوْ يُقَاتِلُوا قَوْمَهُمْ ۚ وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَسَلَّطَهُمْ عَلَيْكُمْ فَلَقَاتَلُوكُمْ ۚ فَإِنِ اعْتَزَلُوكُمْ فَلَمْ يُقَاتِلُوكُمْ وَأَلْقَوْا إِلَيْكُمُ السَّلَمَ فَمَا جَعَلَ اللَّهُ لَكُمْ عَلَيْهِمْ سَبِيلًا ‎﴿٩٠﴾‏ سَتَجِدُونَ آخَرِينَ يُرِيدُونَ أَن يَأْمَنُوكُمْ وَيَأْمَنُوا قَوْمَهُمْ كُلَّ مَا رُدُّوا إِلَى الْفِتْنَةِ أُرْكِسُوا فِيهَا ۚ فَإِن لَّمْ يَعْتَزِلُوكُمْ وَيُلْقُوا إِلَيْكُمُ السَّلَمَ وَيَكُفُّوا أَيْدِيَهُمْ فَخُذُوهُمْ وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ ۚ وَأُولَٰئِكُمْ جَعَلْنَا لَكُمْ عَلَيْهِمْ سُلْطَانًا مُّبِينًا ‎﴿٩١﴾‏} صدق الله العظيم [النساء].

Na haikua kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad awalinganie kumwaga damu ya waislamu; Bali ametoa idhini Allah kwenu kupigana na wanao fanya uwadui ju ya sehemu takatifu zenu na ma nyumba zenu na ardhi yenu na familia zenu, Basi hio ndio jihadi, Na musipo fanya itakua fitna katika ardhi na ufisadi mkuu.

Na enyi ma3ashara ya ma hizbu ya waislamu munao uwana, Hi ni onyo la mwisho kutoka kwa Allah Al'Qadir kua mutangaze kusmamisha vita baina yenu na munyenyeke kwa Khalifa wa Allah ju ya ulimwengu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Ukweli imewajieni kubaini Bayana zake ambazo za ki gheibu kwa yale alio nijulisha nayo Mola wangu Mlezi katika Al'Quran Al3adhim, Na nawakubusha kwa mara ya mwisho kwa Amri Ya Allah Ju Yenu Nyinyi Leo kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ‎﴿٢٠٨﴾‏ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ‎﴿٢٠٩﴾‏} صدق الله العظيم [البقرة].

Na mupigane na ma aduwi ju ya msikiti wa alaaqsa na kwa sehemu takatifu zenu, Na mujuwe kwamba miyezi ya haram ni mi inne wala hasijatengana; Bali zimeshikana - Mwezi mtakatify kwa mwezi mtakatifu kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Mwezi mtakatifu kwa mwezi mtakatifu. Na vitu vitakatifu vimeekewa kisasi. Anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu(194)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
{الشَّهْرُ الْحَرَامُ بِالشَّهْرِ الْحَرَامِ وَالْحُرُمَاتُ قِصَاصٌ ۚ فَمَنِ اعْتَدَىٰ عَلَيْكُمْ فَاعْتَدُوا عَلَيْهِ بِمِثْلِ مَا اعْتَدَىٰ عَلَيْكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ ‎﴿١٩٤﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

Basi kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Atawuba].


{إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ ۚ وَقَاتِلُوا الْمُشْرِكِينَ كَافَّةً كَمَا يُقَاتِلُونَكُمْ كَافَّةً ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ مَعَ الْمُتَّقِينَ ‎﴿٣٦﴾}[التوبة].

Kwakua wao ndio walio anza uwadui, Na wala sio uwaduwi wao mara hi kama kila mara, Na mujuwe kua hakika Allah yu pamoja Na wachaMungu, Na pindi mukikata kunyenyekea na kuti ili kutetea sehemu takatifu zeni; Basi mujuwe hakika ya Allah ni Aziz Hakim, Basi sina lazma kwenu munidhihishe ju ya ulimwengu, Bali vita va Allah ambazo ni moja kwa moja inaendelea ili kumdhihirisha Khalifa wake ju ya ulimwengu, Na mutaenda kujua.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamami.
خليفةُ الله على العالمين الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
________________
======== اقتباس =========