Suali Na Jibu Litoke Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani..
سؤال وجواب للإمام المهدي ناصر محمد اليماني ..

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
16 - 06 - 1433 هـ
08 - 05- 2012 مـ
02:25 صباحاً
https://albushra-islamia.org/showthread.php?p=42738
ـــــــــــــــــ

مزيدٌ من البيان للسائلين الباحثين عن الحقّ من المسلمين والناس أجمعين..
Zaidi Katika Bayana kwa Waulizaji Wanaetafuta Haki Katika Waislamu Na Watu Wote ..

Kushiriki Asili imeandikwa kwa Njia Ya Mtafiti Wa Haki 777:
Alsalam Alekom
Mimi sio mjuzi wa lugha ama dini bali ni mtu wa kawaida sana na yale nayo’yajua ni yale nilio yasoma ama nilio yatwali

Ndugu yangu Nasser Al’Yamani aniongozi Allah pamoja na wewe kwenye njia ilio sawa
Natamani utufaidishe kwa namna inanasibiana na ufahamu wetu bila ya kuipanua utupe mkusanyiko wa maneno
Ndugu mkarimu sitaki mtu ajbu ispokua wewe
Jee kumfwata Al’mahdi Ni nguzo katika nguzo za dini na nini dalili katika kitabu cha Allah
Na je dini ya Muhammad (s) Imeingia kuherufishwa ndani yake na atakuja Al’Mahdi asahihishe mwelekeo nataka dalili kwenye kitabu cha Allah nini tafauti baina ya Nabi na Mtume Na Al’Mahdi kwa yale yalio kuja kwa kitabu cha Allah
Na jee anasmama Al’Mahdi ni mfwataji ama arudisha sharia kutoka kabla yake ama kwamba yeye anawalingania watu kwa yale alio kua nayo Mtume na ma sahaba
ikiwa mimi mfano nitajitosheleza na sala zangu kama nilivojifundisha na saumu zangu na nikasmamisha nguzo za dini na tabia njema na sikufwata Al’Mahdi jee nitaingia motoni ama peponi
Mimi namjua zaidi ya mtu jina lake anaitwa Nasser Muhammad na wako nayo kwa upande wa dini na ucha Mungu zile sifa ambazo za kumtambua Al’Mahdi bila ya hoja ya jina nataka dalili kutoka kwa kitabu mfano ikiwa hadithi ya Al’Mahdi ni mawudhui ama imezushwa ama haiko basi nini hizo dalili
Tufaidisheni Awafaidishe Allah Na Atuongoe Allah pamoja na nyinyi kwa haki na sitaki
urukishe hili ni ombi mahsusi na liwe jibu moja moja kwa kila suali kwa ma suali yote
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Ahli Yake walio tahirika na wote ma swahaba wake Na wote waislamu wanao fwata haki mpaka siku ya dini, Ama baada ya hapo..

Na hi majibu ya Al’Mahdi Al’Muntadhar Kwa Ufupi juu ya mulizaji Mtafiti wa haki:
Suali-1 Jee kufwata Al’Mahdi ni nguzo katika nguzo za dini, Na nini hio dalili kutoka kwa kitabu cha Allah?
Jawabu-1- Na eee ewe Mtafiti wa haki; Bali msingi wa dini na dini yote na jambo ambao limefaradhishwa juu yenu kutoka kwa Mola Mlezi wenu ni kwamba mufwate kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim Na Sunna za kweli na wala hatowaadhibu Allah kwa sababu ya kukufuru kwenu kwa Mtu Al’imam Al’Mhadi wala ma Nabi Na Mitume wote; Bali sababu ya kuadhibu Allah kwa waja wake ni sababu kukufuru kwao kwa ma Aya Za Al’Kitab ambazo ni muhakamat ilio wazi maana yake na kutofwata yale alio teremsha Allah mpaka wakati ikismamishwa hoja juu yao na hawakufwata haki kutoka kwa Mola Mlezi wao alafu inampasa Allah juu yao adhabu baada ilipo smamishwa hoja juu yao kwa kusoma ma aya Ya Allah kwenye Muhakam Kitabu chake wakaikanusha nayo hawo anawadhibu Allah kwasababu ya kusmamishwa hoja juu yao. Na Akasema Allah Ta3ala:

{تَلْفَحُ وُجُوهَهُمُ النَّارُ وَهُمْ فِيهَا كَالِحُونَ ﴿١٠٤﴾أَلَمْ تَكُنْ آيَاتِي تُتْلَىٰ عَلَيْكُمْ فَكُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ ﴿١٠٥﴾ قَالُوا رَبَّنَا غَلَبَتْ عَلَيْنَا شِقْوَتُنَا وَكُنَّا قَوْمًا ضَالِّينَ ﴿١٠٦﴾ رَبَّنَا أَخْرِجْنَا مِنْهَا فَإِنْ عُدْنَا فَإِنَّا ظَالِمُونَ ﴿١٠٧﴾} صدق الله العظيم [المؤمنون].
Allah TA3ALA Asema:
{Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana (104) Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha (105) Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea (106) Mola wetu Mlezi! Tutoe humu Motoni. Na tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu. (107)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuuminun].

Kwa hivo sababu ya kuadhibiwa kwao kutoka kwa Mola Mlezi wao nayo sio sababu ya kukadhibisha kwao kwa shakhsia ya Mitume; Bali wamekadhibisha yale yalio kuja nayo Mitume wa Mola Mlezi wao basi ikawa kukadhibu kwao kwa ma aya za Allah Na kutofwata ma aya zake katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake, Na kwajili ya hivo Anawaadhibu Allah kwa sababu ya kukanusha kwao kuhusu kufwata ma aya baini katika muhakam kitabu cha Allah, Na Akasema Allah Ta3ala:
{قَدْ نَعْلَمُ إِنَّهُ لَيَحْزُنُكَ الَّذِي يَقُولُونَ فَإِنَّهُمْ لا يُكَذِّبُونَكَ وَلَكِنَّ الظَّالِمِينَ بِآيَاتِ اللَّهِ يَجْحَدُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:33].
Allah Ta3ala Asema: {Hakika tunajua kwamba inakuhuzunisha yale wanayo yasema basi hakika wao hawakukadhibu wewe lakini madhalimu kwa ma aya za Allah wanakanusha} Sadaqa Allah Al’3adhim [Alanaam:33].

Na Hivo hivo Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Basi Hatadhibu Allah wanao kanusha ila kwa sababu kwamba Al’Imam Al’Mahdi Anawalingania kwa kufwata muhakam kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim Na Kukufuru Kwa Yale yamekuja yamekhalifu Muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim Ambao imehifadhiwa kutokana na tahrif kwakua ni kamba ya Allah ilio pana atakae kushikamana kwa muhakam ilio wazi maana yake uwongofu kwa njia ilio nyoka, Na Ma Aya Za Allah ni hoja ya Allah juu ya wakanushaji katika watu na hio baina yangu na baina yenu.

Suali-2- Na jee dini ya Muhammad (s) imeingia juu yake kubadilishwa tahrif na atakuja Al’Mahdi asahihishe mwelekeo? Nataka dalili katika kitabu cha Allah.

jibu-2- Na Nasema: Allahuma ndio, Imeingia kwenye dini ya kislamu tahrif nyingi kupitia njia ya wale wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri na mbinu kuzuwia kuhusu ukumbusho kwa kuzuwa ma hadithi katika sunna Al’Nabawia zinakhalifu katika Muhakam Al’Quran Al’3adhim, Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ وَاللَّـهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿81﴾ أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّـهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿82﴾ وَإِذَا جَاءَهُمْ أَمْرٌ مِّنَ الْأَمْنِ أَوِ الْخَوْفِ أَذَاعُوا بِهِ ۖ وَلَوْ رَدُّوهُ إِلَى الرَّسُولِ وَإِلَىٰ أُولِي الْأَمْرِ مِنْهُمْ لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنبِطُونَهُ مِنْهُمْ ۗ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّـهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ لَاتَّبَعْتُمُ الشَّيْطَانَ إِلَّا قَلِيلًا ﴿83﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:
{Na wanasema: Tunat'ii. Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (81) Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi (82) Na linapo wafikia jambo lolote lilio khusu amani au la kitisho wao hulitangaza. Na lau kuwa wangeli lipeleka kwa Mtume na kwa wenye mamlaka kati yao, wale wanao chunguza wangeli lijua. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake mngeli mfuata Shet'ani ila wachache wenu tu (83)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alnisa].

Na hawa’kuiherufisha Qurani yake Bali imetimu tahrif Sunna ya bayana yake katika ma hadithi ya Al’Nabawiya, Na kwavile Al’Quran na sunna ya Bayana zote ni kutoka kwa Allah kwajili ya hivo amewapa fatwa Allah kwamba yale mutakayo pata katika kauli ya Nabi imekuja imekhalifu kwenye muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran basi hakika ya hio hadithi Al’Nabawi imewajia sio kutoka kwa Allah bali imezushwa juu ya Mtume Wake, Kwakua Qurani yake na Sunna ya Bayana yake ni kutoka kwa Allah Na Akawamuru Allah mufwate Qurani Yake na Sunna Ya Bayana Yake. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآنَهُ ﴿18﴾ ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ ﴿19﴾} صدق الله العظيم [القيامة].
Allah Ta3ala Asema:
{Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake (18) Alafu hakika juu yetu kuubainisha (19)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqiyama].

Na Amewafundisha Allah kwamba hakika yatakao kuja katika Bayana yake kwa ma Hadithi ya Al’Nabawiya yamekhalifu Muhakam Qurani Yake basi hio hadithi imekuja kutoka Sio Allah kulingana na tafauti ya hadithi ya Bayana kutokana na muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Kwakua hio hadithi ilio tolewa riwaya yake ilikua imezushwa ju ya Al’Nabi na ma swahaba wake walio kirimiwa; Bali ni kutoka kwa shetani na ma wali wake katika wale ambao wanadhirisha imani na wanaficha ukafiri na mbinu ili wazuwie Watu kufwata Muhakam ya ukumbusho kupitia njia ya ma hadithi za uzushi katika Al’Sunna Al’Nabawiya basi ndio wapoteze waislamu baada ilipo wajia ilio wazi baini mpaka wawafanye kama mfano ya wale walio pewa kitabu basi watenganishe dini yao kwa ujama na ma hizbu na kila chama kwa yale walio nayo wanafurahia, Alafu Anawadhibu Allah Na tayari Aliwaonya kutokana na hayo. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ} صدق الله العظيم [آل عمران:105].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Wala musiwe kama wale walitengana na wakakhitapifiana ba’ada ilipo wajia bayana ya wazi basi hao watapata adhabu kuu} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’imran:105].

Suali-3- Nini tafauti baina ya Nabi na Mtume Na Al’Mahdi kwa yale yalio kuja katika kitabu?
Jibu-3- Ama Ma Nabi basi wao ndio wale ambao wanashuka kwao Malaika kwa wahi mpya yule ambae alioko kati yao Nabi ama Mtume, Ama atakae kua kati yao ni Nabi basi wanashuka kwake Malaika kumletea hukumu na mawaidha ya kubaini hikima na kitabu basi anawapa Allah ilimu kutokana na kitabu na wala hawakukalifishwa wabalighishe ujumbe mpya bali ulinganizi wa kufwata ujumbe ambao umeteremshwa juu ya Mitume kutoka kwa Allah ju ya watu, Na ama Al’Imam Al’Mahdi basi hakumfanya Allah ni katika Ma Nabi wake ambao wanashuka kwao Malaika kwa wahyu bali ni Khalifa Wa Allah katika Ardhi anamfundisha Allah Bayana ya haki ya Al’Quran basi anampa ilham kwa utawala wa ilimu kutoka kwa dhati ya Al’Quran, Na wala hakuja kwenu na wahyu mpya bali kurudi kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na Al’Sunna Al’Nabawiya za haki zile ambazo hazikhalifu muhakam ilio wazi maana yake Kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim, Eee Hakika ya kwamba Al’Mahdi Al’Muntadhar Hakanushi katika ma hadithi ila yanao kuja yamekhalifu kwa muhakam ya ukumbusho, Ama zile ambazo hazikhalifu kwa muhakam ya Al’Quran wala hazifanani nayo basi tunazirudisha kwa akili na mantik, Basi kitu muhimu zaidi ni kwamba hadithi isije inapingana na muhakam Al’Quran basi hio ni kutoka kwa uzushi wa shetani.

Suali-4- Je anakua Al’Mahdi ni mfwataji ama anarudisha sharia kutoka kabla yake. Ama kwamba yeye analingania watu kwa yale alokua nayo Mtume Na Ma Swahaba?
Jibu-4- Na alafu narudisha jibu kwako kutoka kwa muhakam ya kitab, Na Nasema: Ispokua anamtumiliza Allah Al’Imam Al’Mahdi Al’Muntadhar “Nasseran li Muhammad” Munusura wa Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na labda huwenda kutaka kusema mtafiti wa haki:” Na liko wapi jibu kutoka kwa muhakam ya kitabu?”. Na alafu Narudisha jibu juu yake kwa kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ محمد أَبَا أَحَدٍ مِنْ رِجَالِكُمْ وَلَكِنْ رَسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا} صدق الله العظيم[الأحزاب:40].
Allah Ta3ala Asema: {Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:40].

Na kwavile Muhammad Mtume wa Allah - Sala Allahu Aleyhi wa alihi wa Salam - yeye ndio alio khitimisha Ma Nabi na Mitume kwahivo hatotuma Allah Al’Mahdi Al’Muntadhar kwa kitabu kipya awalinganie watu kumfwata; Bali ataenda kuwalingania kwa kufwata kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim na Sunna ya Nabi Wake Muhammad Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Kwahivo Al’imam Al’Mahdi Al’Muntadhar hakika Amelifanya Allah katika jina lake khabari yake na bendera ya jambo lake ( Nasser Muhammad ), Basi likawafikiana jina la ( Muhammad ) Kwenye Jina La Al’Imam Al’Mahdi ( Nasser Muhamamd ), Na hio ndio hikma ya “Altawatuu” “kuwafikiana” na jina La (Muhammad) katika jina la Al’Iamm Al’Mahdi ( Nasser Muhammad ), Na eee kustajabu kwangu kukubwa ewe ambae ni mtafiti wa haki na najua kwamba wewe ni katika wanazuoni wa umma! Basi vipi kwamba nyinyi mutafanya “ Al’tawatuu” Kuwafikiana mutafanya ni kutabikiana pamoja yakua nyinyi munajua kwamba “altawatu kuwafikiana” Ki lugha na ki istilahi yani ni kuwafikiana wala sio kutabikiana, Ispokua anakusudia Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwenye fatwa ya kuashiria jina la Muhammad yuwatiuu na jina la Al’Imam Al’Mahdi Yani linawafikiana na jina la Al’Imam Al’Mahdi, Na akajalia Allah kuwafikiana Katika jina la Muhammad kwenye jina langu katika jina la babatngu ( Nasser Muhammad ), Na hivo ili iwe kwenye jina langu uhakika wa ulinganizi wangu ikiwa nyinyi Mutatia Akili, Na hakunifanya Allah ni Nabi wala Mtume bali nalingania watu kwa ujuzi wa babu yangu Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Na sina mimi ispokua yale alio kuja nayo Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Basi atakae basi amini na atakae basi akufuru, Ispokua juu ya Al’Imam Al’Mahdi katiaka ulinganizi kwa kumwamini Al’Rahman na kumwabudu yeye Na hakuna juu ya Mitume wala juu yao wala ju ya Al’Iamam Al’Mahdi ispokua kubalighisha wazi Na juu Ya Allah Hisabu.
{قلْ أَطِيعُوا اللَّهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ فَإِن تَوَلَّوا فَإِنَّمَا عَلَيْهِ مَا حُمِّلَ وَعَلَيْكُم مَّا حُمِّلْتُمْ وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا وَمَا عَلَى الرَّسُولِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ}[النور:54].
Allah Ta3ala Asema: {Sema: Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume. Na mkigeuka, basi yaliyo juu yake ni aliyo bebeshwa, na yaliyo juu yenu ni mliyo bebshwa nyinyi. Na mkimt'ii yeye mtaongoka. Na hapana juu ya Mtume ila kufikisha Ujumbe wazi wazi } Sdaqa Allah Al3adhim [ Alnur:54].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ الَّذِينَ أَشْرَكُواْ لَوْ شَاء اللّهُ مَا عَبَدْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ نَّحْنُ وَلا آبَاؤُنَا وَلاَ حَرَّمْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ كَذَلِكَ فَعَلَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَهَلْ عَلَى الرُّسُلِ إِلاَّ الْبَلاغُ الْمُبِينُ} صدق الله العظيم [النحل :35].
Allah Ta3ala Asema: {Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu angeli taka tusingeliabudu chochote badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli harimisha chochote bila ya Yeye. Kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao. Basi lipo lolote juu ya Mitume isipo kuwa kubalighisha kwa uwazi} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alnahl:35].

Ila kwamba Al’imam Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Ni katika wanusura wanao mfwata Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam, Na awalingani wanadamu kwa kufwata ujuzi ambao amekuja nayo Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam. Kusadikisha Kauli Ya Allah:
{قُلْ هَذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ عَلَى بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ} صدق الله العظيم [يوسف:108].

Allah Ta3ala Asema: {Sema hi ndio njia yangu nalingania kwa Allah kwa ujuzi mimi na atakae nifwata na Ametukuka Allah wala mimi si katika washirikina} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf:108].

Suali-5- Kwa mfano ikiwa hadithi kuhusu Al’Mahdi ni imewekwa ama ni uzushi ama haiko kamwe basi nini hizo Dalili?
Jibu-5- Eee Wallahi lau ingkua hadithi Al’Nabawi kuhusu jina la Al’Imam Al’Mahdi zimekuja zimekhalifu Kwa Muhakam Al’Quran Al3adhim nigezikufuru ambazo zina khalifu muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim, Na Tunasema Hakika hadithi ya
[يواطئ اسمه اسمي]
[Linawafikiana Jina Lake Jina Langu] imekuja imesadikisha Kwa Muhakam kitabu Cha Allah Al’Quran Al3adhim. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَا كَانَ محمد أَبَا أَحَدٍ مِنْ رِجَالِكُمْ وَلَكِنْ رَسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا} صدق الله العظيم[الأحزاب:40] .
Allah Ta3ala Asema: { Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:40].

Na baada ya fatwa hi katika muhakam ya kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim kwamba Muhammad Mtume wa Allah - Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam- Yeye ndio alie khitimisha Ma Nabi na Mitume na ju ya hayo inajengeka akida ya waislamu kwenye akida ya kutumilizwa Al’Imam Al’Mahdi Kwamba hakika Allah hatumtumiliza kwamba ni Nabi Mpya bali ( Nassera Muammaden Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam), Na jee nyinyi waumini kwa Al’Imam wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi wenu? Na wala haikuwa haki ije ifwate matamanio yenu bali ni hukumu baina yenu kwa yale mulikua muna’khitalifiana katika dini ya Allah ili nifanye safu yenu moja na nikusanye neno lenu kwenye haki, Wala haikuwa kwa Al’Imam Al’Mahdi Kwamba amtumilize Allah awe ni “Nasseran” Mwenye Ku Nusuru moja yoyote katika ma dhehebu zenu, Na najilinda kwa Allah niwe katika majahili! Bali Amenitumiliza Allah “Nasseran li Muhammaden” Mnusura wa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Na nawalingania kufwata kitabu cha Allah na Sunna za Mtume wake za kweli ila zile ambazo zimi’khalifu kati yake kwa Muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran, Basi jifungene Na Kamba Ya Allah Al’Quran Al3adhim Awaongoza Allah Nayo Katika Niia ilio Nyoka. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْهَانٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا ﴿174﴾ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا بِاللَّـهِ وَاعْتَصَمُوا بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَحْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَاطًا مُّسْتَقِيمًا ﴿175﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:
{Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi (174) Ama wale walio muamini Mwenyezi Mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka (175)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ


اقتباس المشاركة 42738 من موضوع مزيدٌ من البيان للسائلين الباحثين عن الحقّ من المسلمين والناس أجمعين..

الإمام ناصر محمد اليماني
16 - 06 - 1433 هـ
08 - 05- 2012 مـ
02:25 صباحاً

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصليَّة للبيان ]
https://albushra-islamia.org/showthread.php?p=42715
ـــــــــــــــــ


مزيدٌ من البيان للسائلين الباحثين عن الحقّ من المسلمين والناس أجمعين ..

اقتباس المشاركة : باحث عن الحق 777
السلام عليكم
انا لست بعالم في الغه او الدين بل انسان عادي جدا ومعرفة محصوره ع ما درسته او تعلمته
اخي ناصر اليماني هداني الله واياك الى الطريق القويم
اتمنى ان تفيدنا باسلوب يناسب فهمنا دون تعمق تعطينا لب الكلام
اخي العزيز لا اريد احد يرد سواك
هل اتباع المهدي ركن من اركان الدين وما هو الدليل من كتاب الله
وهل دين محمد (ص) دخل عليه التحريف وسيأتي المهدي يصحح المسار اريد دليل من كتاب الله
ما الفرق بين النبي والرسول والمهدي بما جاء في كتاب الله
هل يقوم المهدي متبع ام يعيد شرع من قبله ام انه يدعو الناس ع ما كان عليه الرسول والصحابه
اذا كتفيت انا مثلا بصلواتي كما تعلمتها وصيامي وافمت اركان ديني وحسن الفضائل ولم اتبع المهدي هل سادخل النار ام الجنه
انا اعرف اكثر من شخص اسمه ناصر محمد ولهم من الدين والتقوى ما هي الصفات الحاسمه لمعرفه المهدي دون حجة الاسم اريد دليل من الكتاب
افتراضا اذا كان حديث المهدي موضوع او مفترى او غير موجود ما هي الادله
افيدونا افادكم الله وهدانا الله واياكم الى الحق لا اريد اسهاب هذا رجاء خاص وان تكون الاجابه عن كل الاسئله بشكل منفرد لكل سؤال
انتهى الاقتباس من باحث عن الحق 777

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع صحابته الأخيار وكافة المسلمين التابعين للحق إلى يوم الدين، وبعد..
وهذه ردود المهديّ المنتظَر باختصار على السائل الباحث عن الحقّ:

ســ 1 - هل اتّباع المهديّ ركنٌ من أركان الدين، وما هو الدليل من كتاب الله؟
جــ 1 - ويا أيها الباحث عن الحقّ؛ بل أساس الدين وكل الدين والأمر المفروض عليكم من ربّ العالمين هو أن تتّبعوا كتاب الله القرآن العظيم وسنّة رسوله الحقّ، ولن يعذبكم الله بسبب كفركم بشخص الإمام المهديّ ولا جميع الأنبياء والمرسلين؛ بل سبب تعذيب الله لعباده هو بسبب كفرهم بآيات الكتاب المحكمات وعدم اتّباع ما أنزل الله حتى إذا أقيمت الحجّة عليهم ولم يتّبعوا الحقّ من ربّهم ومن ثمّ يحق الله عليهم العذاب بعد أن أقيمت الحجّة عليهم بتلاوة آيات الله في محكم كتابه وأعرضوا عنها أولئك يعذبهم الله بسبب إقامة الحجّة عليهم. وقال الله تعالى: {تَلْفَحُ وُجُوهَهُمُ النَّارُ وَهُمْ فِيهَا كَالِحُونَ ﴿١٠٤﴾ أَلَمْ تَكُنْ آيَاتِي تُتْلَىٰ عَلَيْكُمْ فَكُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ ﴿١٠٥﴾ قَالُوا رَبَّنَا غَلَبَتْ عَلَيْنَا شِقْوَتُنَا وَكُنَّا قَوْمًا ضَالِّينَ ﴿١٠٦﴾ رَبَّنَا أَخْرِجْنَا مِنْهَا فَإِنْ عُدْنَا فَإِنَّا ظَالِمُونَ ﴿١٠٧﴾} صدق الله العظيم [المؤمنون].

إذاً سبب تعذيبهم من ربهم هو ليس بسبب تكذيبهم بشخصيات المرسلين؛ بل كذبوا بما جاء به رسل ربهم وأصبح تكذيبهم هو بآيات الله وعدم الاتّباع لآياته في محكم كتابه، ولذلك يعذبهم الله بسبب إعراضهم عن اتّباع الآيات البيّنات في محكم كتاب الله، وقال الله تعالى:
{
قَدْ نَعْلَمُ إِنَّهُ لَيَحْزُنُكَ الَّذِي يَقُولُونَ ۖ فَإِنَّهُمْ لَا يُكَذِّبُونَكَ وَلَـٰكِنَّ الظَّالِمِينَ بِآيَاتِ اللَّـهِ يَجْحَدُونَ ﴿٣٣} صدق الله العظيم [الأنعام].

وكذلك الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني فلن يعذب الله المعرضين إلا بسبب أنّ الإمام المهديّ يدعوهم إلى اتّباع محكم كتاب الله القرآن العظيم وإلى الكفر بما جاء مخالفاً لمحكم كتاب الله القرآن العظيم المحفوظ من التحريف كونه حبل الله المتين من اعتصم بمحكمه هُدي إلى صراطٍ مستقيم، وآيات الله هي حجّة الله على المعرضين من الناس وذلك بيني وبينكم.

ســ 2 - وهل دين محمد (ص) دخل عليه التحريف وسيأتي المهديّ يصحح المسار؟ أريد دليلاً من كتاب الله.
جــ 2 - ونقول: اللهم نعم، دخل على دين الإسلام تحريفٌ كثيرٌ عن طريق الذين يُظهِرون الإيمان ويُبطِنون الكفر والمكر بالصدِّ عن الذكر بافتراء أحاديث في السُّنة النبويّة مخالفة لمحكم القرآن العظيم، وقال الله تعالى: {
وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّـهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿٨١أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّـهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿٨٢وَإِذَا جَاءَهُمْ أَمْرٌ مِّنَ الْأَمْنِ أَوِ الْخَوْفِ أَذَاعُوا بِهِ ۖ وَلَوْ رَدُّوهُ إِلَى الرَّسُولِ وَإِلَىٰ أُولِي الْأَمْرِ مِنْهُمْ لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنبِطُونَهُ مِنْهُمْ ۗ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّـهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ لَاتَّبَعْتُمُ الشَّيْطَانَ إِلَّا قَلِيلًا ﴿٨٣} صدق الله العظيم [النساء].

ولم يحرّفوا قرآنه بل تمّ تحريف سنّة بيانه في الأحاديث النبويّة، وبما أنّ القرآن وسنة البيان جميعهم من عند الله ولذلك أفتاكم الله أنّ ما وجدتم من أقوال النبيّ جاء مخالفاً لمحكم القرآن فإن ذلك الحديث النبويّ جاءكم من عند غير الله بل مفترًى على رسوله، لكون قرآنه وسنة بيانه من عند الله وأمركم الله باتّباع قرآنه وسنة بيانه. تصديقاً لقول الله تعالى:
{
فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآنَهُ ﴿١٨ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ ﴿١٩} صدق الله العظيم [القيامة].

وعلَّمكم الله أنّ ما جاء في بيانه بالأحاديث النبويّة مخالفاً لمحكم قرآنه فذلك الحديث جاء من عند غير الله نظراً لاختلاف حديث البيان عن محكم القرآن لكون ذلك الحديث المروي كان مفترًى عن النبيّ وصحابته المكرمين؛ بل من عند الشيطان وأوليائه من الذين يظهرون الإيمان ويبطنون الكفر والمكر ليصدّوا البشر عن اتباع محكم الذكر عن طريق الأحاديث المفتراة في السُّنة النبويّة فيضلّوا المسلمين من بعد ما جاءتهم البيّنات حتى يجعلوهم كمثل الذين أوتوا الكتاب فيفرّقوا دينهم شيعاً وكلّ حزبٍ بما لديهم فرحون، ثمّ يعذبهم الله وقد حذَّرهم الله من ذلك. وقال الله تعالى:
{
وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ ۚ وَأُولَـٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿١٠٥} صدق الله العظيم [آل عمران].

ســ 3 - ما الفرق بين النبيّ والرسول والمهديّ بما جاء في كتاب الله؟
جــ 3 - أما الأنبياء فهم الذين تنزَّل عليهم الملائكة بالوحي الجديد من كان منهم نبيّاً ورسولاً، وأما من كان منهم نبياً فتنزَّلت عليه الملائكة بالحكم والمواعظ لبيان الحكمة والكتاب فيؤتيهم الله علماً من الكتاب ولم يكلفوا بتبليغ رسالةٍ جديدةٍ بل الدعوة إلى اتّباع الرسالة التي تنزلت على الرسل من الله إلى الناس، وأمّا الإمام المهديّ فلم يجعله الله من الأنبياء من الذين تنزَّل عليهم الملائكة بالوحي بل خليفة الله في الأرض يعلمه الله البيان الحقّ للقرآن فيلهمه بسلطان العلم من ذات القرآن، ولم يأتِكُم بوحي جديد بل العودة إلى كتاب الله القرآن العظيم والسُّنة النّبويّة الحقّ التي لا تخالف لمحكم كتاب الله القرآن العظيم، ألا وإن المهديّ المنتظَر لا ينكر من الأحاديث إلا ما جاء مخالفاً لمحكم الذكر، وأمّا الذي لا يخالف لمحكم القرآن ولا يتشابه معه فنردّه للعقل والمنطق، فأهم شيء أنّ الحديث لا يأتي معارضاً لمحكم القرآن فذلك من افتراء الشيطان.

ســ 4 - هل يكون المهديّ متّبعاً أم يعيد شرع من قبله، أم أنّه يدعو الناس على ما كان عليه الرسول والصحابة؟
جــ 4 - ومن ثمّ نرد عليك بالجواب من محكم الكتاب، وأقول: إنّما يبعث الله الإمام المهديّ المنتظَر ناصراً لمحمدٍ صلى الله عليه وآله وسلم، ولربّما يودّ أن يقول الباحث عن الحق: "وأين الجواب من محكم الكتاب؟". ومن ثمّ نرد عليه بقول الله تعالى: {
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠} صدق الله العظيم[الأحزاب].

وبما أنّ محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم هو خاتم الأنبياء والمرسلين إذاً فلن يبعث الله المهديّ المنتظَر بكتابٍ جديدٍ يدعو الناس إلى اتباعه؛ بل سوف يدعوهم إلى اتّباع كتاب الله القرآن العظيم وسنة نبيّه محمد صلى الله عليه وآله وسلم، إذاً الإمام المهديّ المنتظَر قد جعل الله في اسمه خبره وراية أمره
(ناصر محمد)، فواطأ الاسم (محمد) في اسم الإمام المهديّ (ناصر محمد)، وتلك هي الحكمة من التواطؤ للاسم (محمد) في اسم الإمام المهديّ (ناصر محمد)، ويا عجبي الشديد أيها الباحث عن الحقّ وأعلم أنك من علماء الأمّة! فكيف أنّكم تجعلون التواطؤ هو التطابق برغم أنكم تعلمون أنّ التواطؤ لغةً واصطلاحاً يعني التوافق وليس التطابق، وإنما يقصد محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم في فتوى الإشارة للاسم محمد يواطئ في اسم الإمام المهديّ أي يوافق في اسم الإمام المهديّ، وجعل الله التوافق للاسم محمد في اسمي في اسم أبي (ناصر محمد)، وذلك لكي يكون في اسمي حقيقة دعوتي إن كنتم تعقلون، ولم يجعلني الله نبيّاً ولا رسولاً بل أدعو إلى الله على بصيرة جدّي محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم، وما عندي غير ما جاء به محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم، فمن شاء فليؤمن ومن شاء فليكفر، إنّما على الإمام المهديّ في الدعوة إلى الإيمان بالرحمن وعبادته ما على الرسل وما عليهم وما على الإمام المهديّ إلا البلاغ المبين وعلى الله الحساب. تصديقاً لقول الله تعالى: {
قُلْ أَطِيعُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ ۖ فَإِن تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْهِ مَا حُمِّلَ وَعَلَيْكُم مَّا حُمِّلْتُمْ ۖ وَإِن تُطِيعُوهُ تَهْتَدُوا ۚ وَمَا عَلَى الرَّسُولِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ ﴿٥٤} [النور].

وقال الله تعالى:
{
وَقَالَ الَّذِينَ أَشْرَكُوا لَوْ شَاءَ اللَّـهُ مَا عَبَدْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ نَّحْنُ وَلَا آبَاؤُنَا وَلَا حَرَّمْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ ۚ كَذَٰلِكَ فَعَلَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ فَهَلْ عَلَى الرُّسُلِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ ﴿٣٥} صدق الله العظيم [النحل].

وإنما الإمام المهديّ المنتظَر ناصر محمد من الناصرين التابعين لمحمدٍ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم، ويدعو البشر إلى اتّباع البصيرة التي جاء بها محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم. تصديقاً لقول الله تعالى:
{
قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّـهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٠٨} صدق الله العظيم [يوسف].

ســ 5 - افتراضاً اذا كان حديث المهديّ موضوعاً أو مفترًى أو غير موجود ما هي الأدلة؟
جــ 5 - ألا والله لوكان الحديث النبويّ في شأن اسم الإمام المهديّ جاء مخالفاً لمحكم آيةٍ في القرآن العظيم لكفرت بما يخالف لمحكم القرآن العظيم، ونقول إنّ حديث [يواطئ اسمه اسمي] جاء مصدقاً لمحكم كتاب الله القرآن العظيم تصديقاً لقول الله تعالى:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾} صدق الله العظيم[الأحزاب].

ومن بعد هذه الفتوى في محكم كتاب الله القرآن العظيم أنّ محمداً رسول الله - صلى الله عليه وآله وسلم - هو خاتم الأنبياء والمرسلين وعلى هذا تتأسّسُ عقيدة المسلمين في عقيدة بعث الإمام المهديّ أنّ الله لن يبعثه نبياً جديداً بل (ناصرَ محمدٍ صلى الله عليه وآله وسلم)، فهل أنتم مؤمنون بالإمام الحقّ من ربّكم؟ وما كان للحقّ أن يأتي متِّبعاً لأهوائكم بل حَكَمٌ بينكم فيما كنتم فيه تختلفون في دين الله لنوّحد صفّكم ونجمع كلمتكم على الحقّ، وما كان للإمام المهديّ أن يبعثه الله ناصراً لأحد مذاهبكم، وأعوذ بالله أن أكون من الجاهلين! بل ابتعثني الله ناصراً لمحمدٍ رسول الله صلى الله وآله وسلم، وأدعوكم إلى اتباع كتاب الله وسنّة رسوله الحقّ إلا ما خالف منها لمحكم القرآن، فاعتصموا بحبل الله القرآن العظيم يهديكم الله به إلى الصراط المستقيم. تصديقاً لقول الله تعالى:
{
يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْهَانٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا ﴿١٧٤فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا بِاللَّـهِ وَاعْتَصَمُوا بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَحْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَاطًا مُّسْتَقِيمًا ﴿١٧٥} صدق الله العظيم [النساء].

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين ..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
______________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..