- 2 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصرمحمد اليماني
05 - 09 - 1433 هـ
23 - 07 - 2012 مـ
10:23 صباحاً
https://albushra-islamia.org/showthread.php?p=52876

ــــــــــــــــــــ


من أحداث ليلة القدر ومزيدٌ من أسرار الكتاب ذكرى لأولي الألباب..
Katika Matokeo Ya Usiku Wa Kadara
(Leilatul Qadri) Na Kuwaongezea Zaidi Katika Siri Za Kitabu Ukumbusho Kwa Wenye Akili ..

اقتباس المشاركة :
"Mchango Asili Umeandikwa Kwa Njia Ya Faris Alhaq"
Imamu Wangu Kuna Baadhi Ya inchi Na Tuseme Mfano Kuna Mtu Yuko Pole ya Kaskazini Anataka Kufunga Na Vile Twajua Huko Jua Halipambazuki Wala Halizami? Naomba Jibu

انتهى الاقتباس
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Na Ewe Faris Alhaq, Pindi urefu wa siku ikiharibika zaidi ya masa shirini na inne basi hapo inakuja idhini ya kukadiria wakati kama vile mutakuja kujua wakati ikipita sayari ya adhabu kwenye usiku wa kadara (Leilatul Qadri) Katika Mwezi Fulani, Na huo usiku hauna asbuhi, Nayo ni pekeyake katika kitabu usiku hauna asubuhi kulingana na nyakati za maka Almukarama na pembezoni mwake, Wala sio usiku wa kumalizika wala mchana wa kumalizika lakini usiku unamalizika ndio urudi ulipo malizika na hivo hivo mchana.


Na twende kwenye ufafanuzi; Basi mujuwe wapendwa wangu kwa Allah hakika ya usiku wa kupita sayari ya adhabu inazidi mvutano na kuvutana baina mama wa ma sayari ambao ni ardhi ya watu na baina sayari saqar, Kisha inaanza ardhi kupungua mzunguko wake baina ya nafsi yake taratibu taratibu kwenye usiku huo mpaka inapo ingia alfajiri ndio ismame mzunguko wake katika wakati wa kivuli ndio ismame kutembea kabisa baada kumaliza swala ya alfajiri, Kisha inaanza kutembea kinyume ndio itangulie tena usiku mchana ndio irudi usiku kutoka mwisho wake kwenda nyuma kulekea magharibi ndio ikae nyakati za swala ya magharibi sala ya alfajiri kwakua mashariki itakua magharibi na magharibi itakua mashariki, Kisha mutaona jua latokezea kutoka magharibi ndio itamalizika usiku huo, Na kitu gani kitakujulisha na usiku wa kadara (Leilatul Qadri) ! Na hatukuhadid ni katika mwezi gani, Na kwa Allah itarudi mambo.


Lakini ewe Faris Alhaq, Hakika ya wakati haujaharibika bado mpaka tutoe fatwa ya kukadiria na bado urefu wa siku ni masa 24 Basi subra ni mzuri mpaka itakapo kusimama kivuli. Kusadikisha Kauli Ya Allah:
{ Je! Huoni jinsi Mola wako Mlezi anavyo kitandaza kivuli. Na angeli taka angeli kifanya kikatulia tu. Kisha tumelifanya jua kuwa ni kiongozi wake (45) Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo (46)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan].
{أَلَمْ تَرَ إِلَىٰ رَبِّكَ كَيْفَ مَدَّ الظِّلَّ وَلَوْ شَاءَ لَجَعَلَهُ سَاكِنًا ثُمَّ جَعَلْنَا الشَّمْسَ عَلَيْهِ دَلِيلًا ﴿45﴾ ثُمَّ قَبَضْنَاهُ إِلَيْنَا قَبْضًا يَسِيرًا ﴿46﴾} صدق الله العظيم [الفرقان].


Na hio ndio (Leilatul Qadri) Usiku wa kadara ambao iliashiriwa wakati wake malum katika kitabu, Na kitu gani kitakacho kujulisha na usiku wa kadara (Leilatul Qadari)! Nayo mpaka ifike alfajiri ndio itulie harakati ya ardhi kisha usiku unarudi kuanzia mwisho wake kurudi nyma ndio itanguli usiku mchana baada jua ilipo fikilia mwezi katika miandamo mengi ya miyezi, Na hakuna alie shtuka ispokua kidogo! ina lillah wa ina ileyhi rajiun. Na kiasi gani nilikujalini, na wengi katika watu hata kama utawajali hawamini mpaka waone adhabu chungu, Nimemtaradhilia Mola Mlezi wangu kua Awahurumie waja wake basi acheleweshe kwao adhabu mapaka baadae huwenda wakaongoka na ikiwa haina budi basi Aifanye ni hakimu wa haki baina yetu na baina ya mashetani katika waja wake katika ma jini na watu na katika kila jinsia, Basi hakika sisi ni kaumu Allah Anawapenda na tunampenda lengo letu ni kinyume na lengo la ma shetani ma jini na watu wale ambao wamefanya ghadhbu ya Allah ndio makusudio yao na wanaenda mbio usiku na mchana ili itimu kupatikane lengo lao katika Nafsi Ya Mola Mlezi wao, Na ama vipi watatimiza kupatikane kuto Ridhika Allah ju ya waja Wake? Basi wao wanazuwia waja wa Allah kutokana na haki na kuwafitini kwa njia ya haki, Na ama sisi basi ni kaumu Allah Anawapenda na tunampenda, Tumefanya Radhi Za Allah ndio lengo basi hatutoridhika


mpaka Aridhike katika Nafsi Yake na wala Hatoridhika Katika Nafsi Yake mpaka Afanye watu umma moja kwenye uongofu kwakua Allah Anaridhika kwa waja Wake Kushukuru Wala Haridhiki kwao kukufuru, Allahuma Salama Salama, Basi atakae kua pamoja na Al'Mahdi Al'Muntadhar Amefanya Radhi Ya Allah ndio lengo basi ataendelea mpaka itimu kupatikane uwongofu kwa watu wote. Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Na lau haikufanyika Leilatul qadri ambao ilio ashiriwa katika kitabu mwezi hu basi miongoni mwa ma ansar watartadi kwa mgongo wake kwakua hajafikia katika utumwa wa kuabudu kikweli ya uhakika na anadai kua yeye amefanya Radhi Za Allah ni lengo mara yeye huyo hapo yuwahuzunika kwa sababu haikupatikana kutimia huzuni ya Allah na maskitiko Yake ju ya waja Wake.
Na eee yule ambae ataenda kurtadi kwa mngongo wake na je kwani sababu ya kugeuka kwako na kuiangusha beyaa yako na ahdi yako kuwacha kwa sababu ya adhabu haikutimu kupatikana mwezi hu? Kisha twasema: Hivi si unadai kua wewe una'abudu Radhi Za Allah ndio lengo na kua wewe hutoridhika mpaka Aridhike? Hivi hujuwi Allah Haridhili ju ya waja wake kukufuru na inamhuzunisha kuwa'adhibu balli Anaridhika kwao kushukuru? Hivi hujuwi kinacho fanyik ndani ya Nafsi Ya Allah baada ya ukelele na kuzimwa kwao? Na labda moja katika waulizaji anataka kusema;" Ns jambo gani linafanyika katika Nafsi Ya Allah baada kufanyika ukelele ju ya wakanushaji wa kutofwata kitabu?". Kisha tunawacha jibu kutoka kwake moja kwa moja Mola Mlezi ili Awajulishe kwa haki katika Nafsi Yake. Akasema Allah Ta3ala:
{ Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa (29) Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli (30) Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao (31) Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu (32)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].


Na muna jambo gani enye ma3ashara ya ma Ansar munaharakisha adhabu ju ya wakanushaji, Na je mwataka izidi maskitiko katika Nafsi ya Allah Mwenye Huruma Arhama Arahimin? Ama mwataka itimu ipatikane katika Nafsi Yake Furaha? Na wala Hatokua na Furaha mpaka watubu kwa Mola Mlezi Wao ili Awasamehe madhabi yao, Basi shikaneni na Radhi za Allah ndio lengo, Wala musikate tama mpaka itimie kupatikana kuongoka kwa umma wote ndio Afanye Allah watu umma moja ju ya njia ilio nyoka na waislamu na wakristo na mayahudi ndio wawe wote waumini umma moja ju ya njia ilio nyoka ispokua mashetani watu miongoni mwao wale ambao wamemchukia Al'Mahdi Al'Muntadhar na lengo lake tukufu na adhimu ispokua watubu hakika Mola Mlezi wangu ni Ghafurun Rahim.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ

اقتباس المشاركة 52876 من موضوع من صاحب علم الكتاب، إليكم بيان عدد السنين والحساب..




- 2 -
الإمام المهديّ ناصرمحمد اليمانيّ
04 - رمضان - 1433 هـ
23 - 07 - 2012 مـ
10:23 صباحًا
(بحسب التَّقويم الرَّسمي لأم القُرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية]
https://albushra-islamia.org/showthread.php?p=53011
ــــــــــــــــــــ


من أحداث ليلة القدر ومزيدٌ من أسرار الكتاب ذكرى لأولي الألباب ..


اقتباس المشاركة : فارس الحق
امامي هناك بعض البلدان ونفترض أن هناك شخصاً في القطب الشمالي يريد أن يصوم فكيف يصوم مع العلم أن الشمس لا تشرق ولا تغرب؟ أرجو الرد
انتهى الاقتباس من فارس الحق
بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين..
ويا فارس الحقّ، إذا اختلّ طول اليوم أكثر من أربعة وعشرين ساعة فهنا يأتي الإذن بتقدير الوقت كما سوف تعلمون عند مرور كوكب العذاب في ليلة القدر في شهرٍ ما، وتلك ليلةٌ ما لها صُبحٌ، وهي الوحيدةُ في الكتابِ ليلةٌ ما لها صُبحٌ حسبَ ميقاتِ مكة المكرمةَ وما جاورها، وليس ليلُها سرمديّاً ولا نهارُها سرمديّاً وإنما الليلُ ينتهي فيعودُ من حيثُ أتى وكذلكَ النهار.

وإلى التفصيل؛ فاعلموا أحبتي في الله إنّ ليلةَ مرورِ كوكب العذاب يشتدُّ التناوش والتجاذب بين الكوكب الأمّ التي هي أرض البشر وبين كوكب سقر، ومن ثم تبدأ الأرض بالتباطؤ في دورانها حول نفسها شيئاً فشيئاً في تلك الليلة حتى مطلع الفجر فيتوقف دورانها في ميقات الظلّ فتسكن من الحركة تماماً بعد قضاء صلاة الفجر، ومن ثم تبدأ بالتحرك العكسي ليسبق الليل النهار فيعود الليل من آخره إلى الوراء متجهاً غرباً فيحِلُّ ميقات صلاة الفجر صلاة المغرب وفي ميقات صلاة المغرب صلاة الفجر كون الشرق سوف يصير غرباً والغرب شرقاً، ومن ثمّ ترون الشمس تطلع من الغرب فتنتهي تلك الليلة، وما أدراك ما ليلة القدر! ولم نحدد بأيّ شهرٍ، وإلى الله ترجع الأمور.

ولكن يا فارس الحقّ، إنّ الزمان لم يختل بعد حتى نُفتي بالتقدير ولا يزال طول اليوم 24 ساعة فصبرٌ جميلٌ حتى يسكنَ الظِل. تصديقاً لقول الله تعالى:
{أَلَمْ تَرَ إِلَىٰ رَبِّكَ كَيْفَ مَدَّ الظِّلَّ وَلَوْ شَاءَ لَجَعَلَهُ سَاكِنًا ثُمَّ جَعَلْنَا الشَّمْسَ عَلَيْهِ دَلِيلًا
﴿45﴾ ثُمَّ قَبَضْنَاهُ إِلَيْنَا قَبْضًا يَسِيرًا ﴿46﴾} صدق الله العظيم [الفرقان].

وتلك هي ليلة القدر المعلومة في الكتاب، وما أدراك ما ليلة القدر! هي حتى مطلع الفجر فتسكن حركة الأرض ومن ثم يعود الليل من آخرة إلى الوراء ليسبق الليل النهار بعد أن أدركت الشمس القمر في كثير من أهلّة الشهور، وما تذكَّر إلا قليلٌ! إنا لله وإنا إليه لراجعون. فكم حرصت عليكم، وما أكثر الناس ولوحرصت بمؤمنين حتى يروا العذاب الأليم، رجوتُ من ربي أن يرحمَ عبادَه فيؤخِّرَ عنهم العذاب إلى حين لعلهم يهتدون وإن كان لا بد فليجعله حكماً بالحقّ بيننا وبين الشياطين من عباده من الجنّ والإنس ومن كل جنسٍ، فنحن قومٌ يحبهم الله ويحبونه غايتنا عكس غاية شياطين الجنّ والإنس الذين اتخذوا غضب الله غايةً ويسعون الليل والنهار إلى تحقيق هدفهم في نفس ربهم، وأما كيف يحققون عدم رضوان الله على عباده؟ فهم يصدّون عباد الله عن الحقّ وفتنتهم عن السبيل الحقّ، وأما نحن فقوم يحبهم الله ويحبونه، اتخذنا رضوان الله غاية فلن نرضى حتى يرضى في نفسه ولن يرضى في نفسه حتى يجعل الناس أمّةً واحدةً على الهدى كون الله يرضى لعباده الشكر ولا يرضى لهم الكفر، اللهم سلِّم سلِّم. فمن كان مع المهديّ المنتظَر اتخذ رضوان الله غاية سوف يستمر إلى أن يتحقق الهدى للناس جميعاً.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين.

ولو لم تحدث ليلة القدر المعلومة في الكتاب هذا الشهر فمِنَ الأنصار من سوف يرتدُّ على عقبيه كونه لم يرتقِ إلى العبودية الحقّ ويزعم أنه يتخذُ رضوان الله غايةً فإذا هو يحزن بسبب عدم تحقيق حزن الله وحسرته على عباده.
ويا من سوف يرتدُّ على عقبيه فهل سبب انقلابك وخلع بيعتك ونكث عهدك بسبب أنّ العذاب لم يتحقق هذا الشهر؟ ومن ثمّ نقول: ألستَ تزعم أنك تعبد رضوان الله غايةً وإنك لن ترضى حتى يرضى؟ أفلا تعلم إنّ الله لا يرضى لعباده الكفر ويحزنه تعذيبهم بل يرضى لهم الشكر؟ أفلا تعلم ما يحدث في نفس الله من بعد حدوث الصيحة وخمودهم؟ ولربّما أحد السائلين يود أن يقول: "وماذا يحدث في نفس الله من بعد حدوث الصيحة على المعرضين عن اتباع الكتاب؟". ومن ثمّ نترك الجواب من الربّ مباشرةً ليعلمُكم بالحقّ في نفسه، وقال الله تعالى:
{إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ ﴿29﴾ يَا حَسْرَ‌ةً عَلَى الْعِبَادِ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّ‌سُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿30﴾ أَلَمْ يَرَ‌وْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُ‌ونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْ‌جِعُونَ ﴿31﴾ وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُ‌ونَ ﴿32﴾} صدق الله العظيم [يس].

فما خطبُكم يا معشر الأنصار تستعجلون العذاب على المعرضين، فهل تريدون أن تزيدوا الحسرة في نفس الله أرحم الراحمين؟ أم تريدون أن تحققوا في نفسه السرور؟ ولن يكون مسروراً حتى يتوبوا إلى ربِّهم ليغفر ذنوبهم، فاعتصموا برضوان الله غايةً، ولا تستيئِسوا حتى يتحقق هدى الأمّة بأسرها فيجعل الله الناس أمّةً واحدةً على صراطٍ مستقيمِ والمسلمين والنصارى واليهود فيكونون جميعاً مؤمنين أمّةً واحدةً على صراطٍ مستقيمٍ إلا شياطين البشر منهم الذين كرهوا المهديّ المنتظَر وهدفه السامي والعظيم إلا أن يتوبوا فإنّ ربي غفورٌ رحيم.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..