- 6 -
Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 01 - 1431 هـ
28 - 12 - 2009 مـ
01:14 صباحاً
ـــــــــــــــــــــ

إنّ جميع الصلوات سواء تكون صلاة فرضٍ أم صلاة واجبة أم صلاة تطوع فجميعهن ركعتان ..
Hakika Ya Swala Zote Sawa iewe Swala Ya Faradhi Ama Swala Ya Wajib Ama Swala Ya Kujitolea Basi zote Ni Raka Mbili ..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Al’Salam Alekom wa Rahmatullah wa Barakatuhu, Na jibu kwa mukhtasari:
Hakika Ya Swala Zote Sawa iewe Swala Ya Faradhi Ama Swala Ya Wajib Ama Swala Ya Kujitolea Basi zote Ni Raka Mbili katika kitabu Cha Allah sawa iwe ni faradhi ama ni nafli ya kujitolea basi ni raka mbili peke alafu ni kutoa Salam.


Na anaswali atakavo katika swala za kujitolea ambazo ni nafli nazo hivo hivo ni raka mbili katika kila nafli za swala ama faradhi ama swala ya juma ama swala za sunna basi nazo zote ni raka mbili katika kila swala iwe sawa ni faradhi ama wajib kama swala ya juma ama sunna ama nafli inao pendeneza basi zote ni raka mbili ispokua swala ya kasri na witri basi nazo ni raka moja, Hakika imekuja kwetu kwa ujumbe wa binafsi suali kuhusu swala ya witri ikawajibika juu yetu kuteremsha nyongeza kwa kuzidisha ufafanuzi, Na Wala Sijawapa Fatwa Bado kwamba imekamilika bayana ya Swala, Wala sijakanusha Swala Ya witri baada ya nashiat Aleil, Ispokua tumezungumzia kuhusu Swala za Faradhi na Swala za nafli kwamba ni raka mbili iwe sawa ni faradhi ama ni nafli ya kujitolea wala hatukuzungumzia kuhusu swala yenye raka moja katika hi Bayana, Kwajili ya hivo imewajibika juu yetu kuzidisha ufafanuzi kuhusu swala yenye raka moja nazo ni swala ya kasri kama nilivo wafundisha kwa sharti yake ambao ni muhakam ilio wazi maana yake katika kitabu cha Allah nayo ni raka moja, Nayo katika swala ambazo ni fupi kwenye swala zote ni swala ya kasri na swala ya witri ambayo munaifanya ni swala yenu ya mwisho baada usiku kuongezeka nayo ni raka moja, Na nyinyi munajua kwamba swala ya witri ni raka moja.


Na Salam Ju ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu yenu Al’Imam Al’Mahdi Al’muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani.


وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ المنتظر ناصر محمد اليماني.
__________

۞منتديات البشرى الإسلامية۞
< Muntadayat Al’bushra Al’islamia>
https://albushra-islamia.org/showthread.php?p=47657