- 2 -
الإمام ناصر محمد اليماني
25 - 10 - 1430 هـ
14 - 10 - 2009 مـ
11:30 مسـاءً
ـــــــــــــــــــــ



Fatwa Ya Al'Imam Al'Mahdi Kuhusu Mwili Ulio Wekwa Kwa Kiti Cha Nabi Allah Suleman ...






Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mitume Asalam Aleykum Ewe Imam Wetu Al'Mahdi Al'Muntadhar Hakika Nime Fanya Utafiti Katika Bayana Zako Karimu Kuhusu Tafsiri Ya Hi Aya Karimu Na Sikupata Kuwa Nyinyi Mume'iTafsiri "Basi Nataraji Kwenu Ewe Imamu Wetu Kuwa Uwazidishe Ma Ansari Wako Ilimu Na Fahamu" Kwa Hi Aya Karimu ..
وَلَقَدْ فَتَنَّا سُلَيْمَانَ وَأَلْقَيْنَا عَلَى كُرْسِيِّهِ جَسَدًا ثُمَّ أَنَابَ
Allah Ta3ala Asema: {Na Hakika Tumemfitini Suleyiman Na Tukaiweka Mwili Alafu Akarudi}
Na Salam Ju Ya Atakae Fwata Uongofu




Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salamon Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin.. Dadangu Mulizaji Na Waulizaji Wote Katika Waumini Salamu Allah Aleyikum Warahmatuhu Ajmain, Na Ama "Al'Jasad" Mwili Nayo Inatumiwa Kwa Mwili Wa Mtu Ambae Hali Chakula, Kusadikishs Kauli Ya Allah Ta3ala:

{اقْتَرَ‌بَ لِلنَّاسِ حِسَابُهُمْ وَهُمْ فِي غَفْلَةٍ مُّعْرِ‌ضُونَ ﴿١﴾ مَا يَأْتِيهِم مِّن ذِكْرٍ‌ مِّن رَّ‌بِّهِم مُّحْدَثٍ إِلَّا اسْتَمَعُوهُ وَهُمْ يَلْعَبُونَ ﴿٢﴾ لَاهِيَةً قُلُوبُهُمْ ۗ وَأَسَرُّ‌وا النَّجْوَى الَّذِينَ ظَلَمُوا هَلْ هَـٰذَا إِلَّا بَشَرٌ‌ مِّثْلُكُمْ ۖ أَفَتَأْتُونَ السِّحْرَ‌ وَأَنتُمْ تُبْصِرُ‌ونَ ﴿٣﴾ قَالَ رَ‌بِّي يَعْلَمُ الْقَوْلَ فِي السَّمَاءِ وَالْأَرْ‌ضِ ۖ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ ﴿٤﴾ بَلْ قَالُوا أَضْغَاثُ أَحْلَامٍ بَلِ افْتَرَ‌اهُ بَلْ هُوَ شَاعِرٌ‌ فَلْيَأْتِنَا بِآيَةٍ كَمَا أُرْ‌سِلَ الْأَوَّلُونَ ﴿٥﴾ مَا آمَنَتْ قَبْلَهُم مِّن قَرْ‌يَةٍ أَهْلَكْنَاهَا ۖ أَفَهُمْ يُؤْمِنُونَ ﴿٦﴾ وَمَا أَرْ‌سَلْنَا قَبْلَكَ إِلَّا رِ‌جَالًا نُّوحِي إِلَيْهِمْ ۖ فَاسْأَلُوا أَهْلَ الذِّكْرِ‌ إِن كُنتُمْ لَا تَعْلَمُونَ ﴿٧﴾ وَمَا جَعَلْنَاهُمْ جَسَدًا لَّا يَأْكُلُونَ الطَّعَامَ وَمَا كَانُوا خَالِدِينَ ﴿٨﴾ ثُمَّ صَدَقْنَاهُمُ الْوَعْدَ فَأَنجَيْنَاهُمْ وَمَن نَّشَاءُ وَأَهْلَكْنَا الْمُسْرِ‌فِينَ ﴿٩﴾ لَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ كِتَابًا فِيهِ ذِكْرُ‌كُمْ ۖ أَفَلَا تَعْقِلُونَ ﴿١٠﴾}
صدق الله العظيم [الأنبياء].
Allah Ta3ala Asema:{IMEWAKARIBIA watu hisabu yao, nao wamo katika mghafala wanapuuza(1)Hayawafikilii mawaidha mapya kutokakwa Mola wao Mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo(2)Zimeghafilika nyoyo zao. Na wale walio dhulumu hunong'onezana kwasiri: Ni nani ati huyu isipo kuwa ni binaadamu tu kama nyinyi! Mnauwendea uchawi hali nanyi mnaona?(3)Alisema: Mola wangu Mlezi anayajua yasemwayo mbinguni na katika ardhi. Na Yeye ni Mwenye kusikia Mwenye kujua(4)Lakini wao walisema: Hizo ni ndoto za ovyo ovyo, bali amezizua tu, bali huyo ni mtunga mashairi. Basi atuletee miujiza kama walivyo tumwa wale wa mwanzo(5)Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa?(6)Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui(7)Wala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele(8)Kisha tukawatimizia miadi, na tukawaokoa wao na tulio wataka, na tukawateketeza walio pita mipaka(9)Na hakika tumekuteremshieni Kitabu ambacho ndani yake yamo makumbusho yenu. Je! Hamzingatii?(10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].




Yani haja Wafanya Malaika Kwajili Malaika Hawali Chakula, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَقَدْ جَاءَتْ رُ‌سُلُنَا إِبْرَ‌اهِيمَ بِالْبُشْرَ‌ىٰ قَالُوا سَلَامًا ۖ قَالَ سَلَامٌ ۖ فَمَا لَبِثَ أَن جَاءَ بِعِجْلٍ حَنِيذٍ ﴿٦٩﴾ فَلَمَّا رَ‌أَىٰ أَيْدِيَهُمْ لَا تَصِلُ إِلَيْهِ نَكِرَ‌هُمْ وَأَوْجَسَ مِنْهُمْ خِيفَةً ۚ قَالُوا لَا تَخَفْ} صدق الله العظيم [هود:69-70]،
Allah Ta3ala Asema:{Na wajumbe wetu walimjia Ibrahim kwa bishara njema, wakasema: Salama! Naye akasema: Salama! Hakukaa ila mara akaleta ndama wa kuchoma(69)Basi alipoona mikono yao haimfikilii aliwatilia shaka, na akawaogopa. Wakasema: Usiogope!'} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:69-70]. Wakamweleza Kuwa Wao Ni Wajumbe Wa Allah Katika Malaika Waka'Mfahamisha Kua Malaika Hawali Chakula Hata Kama Atamfanya Allah Ni"Jasadan"Mwili Binadamu Kabisa Sawa sawa Basi Hivo Hivo Hali Chakula Na Chakula Chake Ni Kumtaja Allah Usiku Na Mchana Na Wao Hawachoki.


Na Tunarudi Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا جَعَلْنَاهُمْ جَسَداً لَّا يَأْكُلُونَ الطَّعَامَ} صدق الله العظيم،
{Na Wala Hatu'Kuwafanya("Jasadan" Miyili) Hawali Chakula} Sadaqa Allah Al3adhim, Na Anakusudiya Ma'Nabi Kuwa Yeye Hakuwafanya Ni Malaika, Na Hivo Kwajili Wao Wamesema:
{أَبَعَثَ اللَّـهُ بَشَرً‌ا رَّ‌سُولًا ﴿٩٤﴾} [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema: {Hivi Ametuma Allah Binadamu Ni Mtume(9)} [Alisra ].






Akasema Allah Ta3ala: {Na Haikuwazuwia Watu Kuwa Wa'Amini Pindi Ilipo Wajia Uongofu Ila Ispokuwa Wanasema Hivi Anamtumiliza Allah Binadamu Ni Mtume(94)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:94].

Basi Wao Wanamhoji Mtume Wa Mola Wao Mlezi Basi Vipi Atamtumiliza Allah Binadamu Awe Ni Mtume Na Wanataka Malaika Awe Ndio Mtume Kwao, Akawapa Jibu Allah Ju Yao:
{وَلَوْ جَعَلْنَاهُ مَلَكًا لَّجَعَلْنَاهُ رَ‌جُلًا وَلَلَبَسْنَا عَلَيْهِم مَّا يَلْبِسُونَ ﴿٩﴾ وَلَقَدِ اسْتُهْزِئَ بِرُ‌سُلٍ مِّن قَبْلِكَ فَحَاقَ بِالَّذِينَ سَخِرُ‌وا مِنْهُم مَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema: { Na Lau Tungemfanya Ni Malaika Basi Tungemfanya Ni Mwanamume Watu Na Tungemvisha Wanao Va(9)Na Wamefanyiwa Istihizai Mitume Kabla Yako Ikawastahiki Wale Wakaifanya Shere Kati Yao Yale Walio Kuwa Wakifaniya shere(10)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alanaam].




kwa Mana Kuwa Hata kama Atatuma Allah Kwa Watu Malaika Angemfanya Mwanamume Kama Wao Na Angemvisha Ju Yake Vile Wanavo Va Wao Kwa Jili Haitakiwi Awatumilizie Kwao Kwa Sura Zake Za Ki Malaika Kwa Ukubwa Wa Umbile Wa Mwili Wake Na Kwa Mwenyezi Mungu Hikma Yake,"Na Tunaistanbit kuichunguza -Kwa Undani"; Kuwa (Aljasad/Kiwiliwili) Ambao Imetimu Kuwekwa Ju Ya Kiti Cha Enzi Cha Suleyiman Basi Naye Hali Chakula Na Alikuwa Sura Zake Kama Sura Za Nabi Wa Allah Suleyiman Na Imetimu Kuwekwa Kwa Kudra Ya Allah Kwenye Kiti Cha Enzi Cha Suleyiman, Na Wala Haina Uhusiano Na Pete Kwa Yale Maneno Wanaodai Na Porojo Na Habari Wa Wale Wamwanzo Za Urongo Zilio Kadhibishwa Za Kikhurafa Ambao Haikubali Akili Wala Mantik, Mfano Wa Kauli Yao Kuhusu Pete Ya Suleyiman Na Kisa Cha Samaki Ambao Alipatikana Ndani Ya Utumbo Wake Pete Basi Haya Maneno Hajateremsha Allah Utawala Ndani Yake; Bali Ameweka Allah Jasadan (Kiwilwili) Sura Zake Kama Sura Za Suleyiman Vile vile Wakadhani Jeshi La Suleyiman Kuwa Ni Suleyiman, Na Alikuwa Allah Anawa'Khayalisha Ju Yao Wakanushe Sura Ya Suleyiman Ya Haki, Na Akakatazwa Kuingia Kwa Makamu Yake Ya Binafsi Na Ya Kudumu, Akawa Bila Jeshi Wala Ufalme Na Wote Wanamkanusha Na Wakadhani (Al'Jasad-Ule Mwili) Ulo Ka Kwenye Arshi Ya Suleyiman Ni Suleyiman, Lakini Yeye Akafanya Hijra Kwa Mola Wake Akaomba Msamaha Wa Dhambi Lake Akampa Allah Ufalme Haitakiwi Ba'Ada Yake Kwa Wakuruba Wake Amrithi Ba'Ada Yake.



Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ـــــــــــــــــ


Read more: [COLOR=#0000ff]https://albushra-islamia.org/showthread.php?t=1484]