Al'Imam Al'Mahdi Anatuzidisha Ufafanuzi Kwa Haki Kwa Yale Yanao Husiana Na Swala Ya Idi..
Nukulu Kutoka Asili Ya Kushiriki Amiandika Farid Salama Kuangalia Kushiriki
Bismillah Na Alhamdulillah Na Salam Juu Ya Mtume Wa Allah Alsalam Juu Ya Imamu Wetu Ambae Ghali Kwetu Na Ma Answar Walio Tangulia Walio Bora Na Rahma Za Allah Na Baraka Zake
Akubariki Allah Ewe Imam Wetu Mkarimu Na Akujazi Kwetu Kila La Kheri Umetupa Fatwa Kwa Haki Na Umetubainishia Kwetu Mambo Ya Dini Yetu Ikawa Sahali Na wepesi Na Iko Wazi Baini Lakini Neema Ya Imamu Wewe Na Ametukuka Alie Kufundisha Na Niko Na Suali Na Nataraji Kwa Ukarimu Utufaidishe Kwa Hili Suali ikiwa Itakutana Siku Ya Idi Siku Ya Juma Na Tukaswali Swala Ya Idi Na Jamaa Na Je Inanguka Juu Yetu Swala Ya Juma Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim. Na Swala Na Salam Juu Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Watu Wake Walio Twahirika Na Waliofwata Walio Wema Mpaka Siku Ingine, Ama Ba'ada Hapo..
Na Kuhusu Swala Ya Idi Ya Al'Fitri Ama Idi Ya Aladh'ha, Lakini Khutba Kabla Ya Raka Mbili Kama Vile Katika Swala Ya Juma, Wala Hailipwi Swala Ya Idi Kwa Swala Ya Juma, Wala Hailipwi Khutba Ya Idi Na Raka Mbili Zake Juu Ya Khutba Na raka Mbili Ya Swala Ya Juma Kwakua Swala Ya Juma Ni Suna Ilio Wajibika Kwa Yule Mwenye Kuweza Kwenda, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِنْ يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَكُمْ إِنْ كُنْتُمْ تَعْلَمُونَ ﴿9﴾فَإِذَا قُضِيَتِ الصَّلَاةُ فَانْتَشِرُوا فِي الْأَرْضِ وَابْتَغُوا مِنْ فَضْلِ اللَّهِ وَاذْكُرُوا اللَّهَ كَثِيرًا لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿10﴾} صدق الله العظيم [الجمعة].
Allah Ta3ala Asema:{ Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua (9) Na itakapo kwisha Sala, tawanyikeni katika nchi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljuma].
Na Ama Swala Ya Idi Nayo Ni Sunna Yakupendekezwa Na Kwa Kuhudhuria Kwake Ni Kheri Zaidi, Na Kumdhukuru Allah Akbar Na Kheri Nyingi.
Na Ikiwafikiana Idi Na Siku Ya Juma Lakini Swala Ya Al'Fajiri Katika Wakati Wake Wakawaida, Na Ama Swala Ya Idi Basi Ba'ada Kuchomoza Jua Na Khutba Ya Idi, Na Yatakiwa Khutba Iwe Ni Katika Ma'Khutba Fupi Katika Khutba Zote Itolewe Waadhi Kwa Waislamu Waunge Kizazi Na Kutowa Na Kuafu Na Kusameheana Na Kuzuru Watu Wa Karibu Na Marafiki Badhi Yao Kwa Baadhi Ili Kutia Nguvu Undugu Na Mapenzi Na Kusameheana
Na Swala Ya Juma Ni Katika Wakati Wake Malumu Inaka Pahala Pa Swala Ya Adhuhuri,
.Na Swala Ya Adhuhuri Mkusanyiko Wa Kuchelewesha Pamoja Na Swala Ya Alasiri